mtombangile kitwango☠️ (@japharyshayb) 's Twitter Profile
mtombangile kitwango☠️

@japharyshayb

watu makini hawana rafiki wengi✌️/

YANGA member💚💛 _ Man city fans💙🤍/

Dm at your own risk ☠️

ID: 2216601792

calendar_today26-11-2013 22:10:16

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Bob Kipara (@_yourboyli4) 's Twitter Profile Photo

Malii Restocked(Bei zimeshuka)💥💥💥 Pixel 6a 128GB Tsh 420,000/= IPHONE 11 64gb Tsh 500,000/=, 128gb Tsh 550,000/= AQUAS SENSE 3 CLEAN Tsh 220,000/= AQUAS SENSE 7 128gb Tsh 280,000/= SONY XZ1 64gb -Tsh 200,000/= 📍UHURU NA LIKOMA NEAR AKIBA BANK ☎️ 0621513868

mtombangile kitwango☠️ (@japharyshayb) 's Twitter Profile Photo

Hata Mwanaume mwenye NIA njema na wewe anahitaji sex, Hata mwanamke mwenye UPENDO WA DHATI anahitaji pesa.. Usitengeneze falsafa za Uongo ili ku fit ulichonacho.

BROTHER (@0101dubu) 's Twitter Profile Photo

Kaka; usipoteze miaka yako ya 20 kwa kusaka sifa mitandaoni, kujifanya tajiri au kujaribu kuwafurahisha watu ambao baada ya miaka mitano hawatakuwa na maana kwako. Huu ndio muda wa kujijenga: - Jenga nidhamu yako. - Jenga fikra zako. - Jenga ujuzi wako. - Jenga mwili wako.

Japhal japha (@japhalshaban) 's Twitter Profile Photo

UKWELI MCHUNGU...... Kinacho Tuumiza Nafsi Ni Hatutakuwa Na Ushahidi Wa Kuonesha Kwamba.. Tulipambana Kadri Ya Uwezo Wetu Pindi Tutapokuwa Tumefeli Kwenye Haya Maisha. 🥹✌️

mtombangile kitwango☠️ (@japharyshayb) 's Twitter Profile Photo

Aliyekuacha wakati wako wa tabu, hastahili kuwepo wakati wako wa Mafanikio. Nyakati ngumu huwa zinaonesha tabia halisi za watu wako wa karibu, huwa zinaonesha nani anakujali na nani atasimama na wewe wakati unapitia magumu. Ukivuka nyakati ngumu baki na wale ambao hawakukuacha.

IAmHaule (@iamhaule) 's Twitter Profile Photo

1. Maamuzi magumu ni sehemu ya maisha. 2. Huwezi kukua bila kuchukua hatua. 3. Kama hujapitia maumivu, hujajua inavyoumiza. 4. Maamuzi magumu yanatengeneza tabia. 5. Kwa kila uamuzi mgumu, unajijengea nguvu.

mtombangile kitwango☠️ (@japharyshayb) 's Twitter Profile Photo

Na Bahati mbaya zaidi ni kwamba wenye Elimu hujisifu kuwa wao sio wajinga,wakidhani Elimu inaondoa ujinga ambao umejengwa na mazoea ya kujivunia kile Kidogo wanachokijua katikati ya vingi wasivyo vijua ANYWAY ACHA lENDELEE KUNYESHA..🫵