Kwanini tusubili mpaka watu wafike vyuo vikuu ndio waende veta kwanini usitengenezwe utaratibu baada yakuhitimu darasa la saba ule muda wa kusubili matokeo na post za shule za secondary ndio watu waende veta au kidato Cha pili baada ya mtihani wa kusubili kuingia kidato Cha tatu