Hance Njobelo
@hanspuff
A proud father, innovator Agripreneur, Creative.
ID: 178797591
http://www.360connects.co.tz 15-08-2010 18:36:04
9,9K Tweet
1,1K Takipçi
975 Takip Edilen
Msanii wa Kike mwenye tuzo nyingi zaidi africa mashariki. Sio mwingine ni Lady JayDee Miaka 25 kwa kasi ileile, Legend.🐐 Tar 13 June wote tutakua Super Dome Masaki. Piga 0658 556 557 kufanya booking ya meza. Hata mimi nitakuwepo na shati langu.
Hivi mpaka leo hakuna chuo kimeona umuhimu wa kumtunuku Joseph Haule Joseph L. Haule phd ya heshima??? Au imeshafanyika na mimi nimepitwa?
Jana nikiwa njiani kutoka kwenye mkutano wa hadhara wa Maswa kuelekea mkutano wa Shinyanga Mjini niliamua kuchepuka kwenda kijiji cha Negezi Wilaya ya Kishapu kudhuru kaburi la Hayati Mohamed Ali Makani almaarufu Bob Nyanga Makani Katibu Mkuu wa Kwanza Chadema Tanzania na Mwenyekiti