Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile
Halima James Mdee

@halimamdee

....................

ID: 296709232

linkhttp://www.parliament.go.tz/ calendar_today11-05-2011 08:21:12

20,20K Tweet

1,2M Takipรงi

16,16K Takip Edilen

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Umesema VYEMA โ€ฆ you will NEVER know.. MIE NILIAMUA Kunyamaza KIMYA . RAIA MKAMEZA takataka ZOTE mlizomezeshwa. 5 years onโ€ฆ sijajutia UKIMYA wangu.. MAANA naendelea KUJIFUNZA kumbe SIO KILA MTU anaweza vumilia ๐Ÿฅ‚๐Ÿ˜ƒ! Cheers najiandaa na MECHI ya WATANฤฐ sasa ๐Ÿ˜‚!

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Tumejenga taasisi HATUA kwa HATUA wakati wao wananyonya au hata hawajazaliwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚โ€ฆ Leo wanamiliki SMARTPHONE wanatuvimbia humu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚! KWa BฤฐTฤฐ NZITO NZITO .. nikitaka punguza stress natembeleaโ€™gaโ€™ hii DUNIA. Ni ya kipekee sana ! ๐Ÿ˜‚

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Nami napenda iwe hivyo . Tena ndio SAFI. ๐Ÿ˜‚ ! Yaaani HAKUNA hata kaushahidi.. huoni kanafanya maisha yanakuwa simple sana .

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Na mimi Nakubaliana nawe 100%. Unajua heshima ilishaondoka 5years ago.. sasa nashangaa kwa nini sipotei kwenye VIDOLE ๐Ÿซ†๐Ÿซ†vyenu mkiwa MNACHAPA spana ! ๐Ÿ˜„! Ni wazi tu MNANICHUKIA mpaka MNANIPENDA..

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Mhe. NAONA Timu yako pendwa โ€ฆ imeamua KUTUKIMBIA tena !! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚! Hiki sio kiwango cha FINALIST wa KOMBE la SHIRIKISHO!!

Mhe. NAONA Timu yako pendwa โ€ฆ imeamua KUTUKIMBIA tena !! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚! Hiki sio kiwango cha FINALIST wa KOMBE la SHIRIKISHO!!