Baba Yao Manyinge
@geoffreymariac1
Mwalimu, Mjinga Wa Yesu,fan wa Arsenal, sirkal, Barcelona, Sigowet, Nancy is my pet, music is my hobby, radio fan citizen,since 2003
0720571714,0757230098
ID: 1027993803968442368
10-08-2018 19:03:16
1,1K Tweet
131 Takipçi
1,1K Takip Edilen
Good morning? Happy FURAHIDAY kwako! Karibu tusifu na kuabudu Kiafrika kwa miziki iliyoimbwa kwa lugha za Kiafrika Radio Citizen Wanipokea ukiwa wapi na unapambazuka na nani? #PambazukaNaRadioCitizen
Good morning this beautiful Sunday? Karibu tupambazuke kwa baraka Radio Citizen Wanipokea ukiwa wapi,kanisani wapi na una pambazuka na nani? #PambazukaNaRadioCitizen
Good morning this beautiful Wednesday morning? Karibu katika #WCW edition ya baraka na ya kipekee Radio Citizen Wanipokea ukiwa wapi na una pambazuka na nani hii leo? #PambazukaNaRadioCitizen
Tupogo tumewasili ndani ya show kubwa Radio Citizen Na kikosi moto @vincentateya Inspekta Mwala (Davis Mwabili) Unatupata ukiwa wapi? #JamboKenya #JamboKenya #JamboKenya
Ungana na kikosi kikubwa ndani ya #Jambokenya awamu ya kwanza tu Inspekta Mwala (Davis Mwabili) Kadot @vincentateya | Fred Ng'etich
#JamboKenya Good morning, ni Friday! Kamata position. Baada ya #PambazukaNaRadioCitizen kanasonga 6am-10am. Leo kijiweni waliotudharau nangoja sauti zao! Arsenal twasonga mbele! Radio Citizen Max Citizen TV Kenya
Kikao cha #JamboKenya Jamila Mohamed HSC LINCOLN NJOGU Francis Gachuri @vincentateya
Uchambuzi wa magazeti: Maneno makali kati ya naibu rais, William Samoei Ruto, PhD na Raila Odinga #JamboKenya @vincentateya
Awamu ya kwanza katika #JamboKenya good morning, umeamka salama ? Ungana na team kubwa @vincentateya Kadot Nzalambi Nelson kawawa Melody Sinzore.
Chairperson Ombudsman Kenya attending State of the Nation Address by H.E President Uhuru Kenyatta at Parliament with Sakaja Arthur Johnson and @SenMutula .
@vincentateya Radio Citizen @trizorkeshi Geoffrey Mwamburi (BEKI) Brian Alïńgälîñga Ndani zaidi Eldoret home of champions
Radio Citizen Tina Ogal MUNAI GENERALI Seneta Tomkim Baraza HSC #JamboKenyaChangamka Niko Eldy ninachofahamu kuwa wazazi watelekeza wajibu wao,nakumbuka mzazi mmoja alikuwa akimtetea mwanawe licha ya hayo ilipotimia form four alishangaa eti alikuwa amejipotosha...jamani watoto wametelekezwa