faiso (@faiso20760414) 's Twitter Profile
faiso

@faiso20760414

❇️Allah first ❇️Manchester united Fun ❇️Yangafc

ID: 1373353076262895624

calendar_today20-03-2021 19:17:55

25 Tweet

14 Takipçi

99 Takip Edilen

faiso (@faiso20760414) 's Twitter Profile Photo

Nothing lasts forever Not even our own troubles.vijana mnaochipukia kwenye siasa yanayojiri nchini yakawe funzo kwenu,hasa wana-CCM.

faiso (@faiso20760414) 's Twitter Profile Photo

Qibla ambayo ndo uelekeo wetu katika kusimamisha swala ni Macca(Al kaaba) iweje leo wao watangaze Eid alafu sisi Tanzania tuseme mwezi haujaonekana ile hali tunaamini Qibla iliyopo kwao(Saudia Arabia) Kwakweli kama tumekubali kufikishwa hapa na siasa Allah atatuadhibu💔

faiso (@faiso20760414) 's Twitter Profile Photo

Kwa upande wangu sidhani kama suala la gender equality ni la lazima kila sehemu,kuna baadhi ya fani zitabaki kuwa bora zikifanywa na jinsia fulan Otherwise marefa wanawake wamekuwa wakiharibu radha ya mpira uwanjani. Migano ni mingi sana ila twende na huu wa jana. SFG vs Simba.