
Emanuel Eckson
@emanueleckson
C'est la vie #Simba #Arsenal
ID: 1308707373079461889
23-09-2020 09:59:14
3,3K Tweet
341 Takipรงi
251 Takip Edilen


Napenda kutumia fursa hii kuishukuru Bodi ya Uratibu wa Mashirika yasiyo ya kiserikali chini ya wizara ya WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII Kwa kuniteua kua Mjumbe wa kamati ya Mpito ya kuratibu Uchaguzi wa Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya kiserikali National Council Of NGOs Tanzania .


China has played a pivotal role in transforming Tanzania's landscape, from roads to railways and energy projects, proving that prosperity can be achieved through collaboration and bold investment. ๐๐ผ๐๐ผ Chinese Embassy in Tanzania


Mapema leo Global Impact Transformation wamehudhuria kikao cha awali kuelekea โUzinduzi wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutekeleza Ajenda ya Wanawake, Amani, na Usalama 2025-29โ. Kikao hicho kimekutanisha wadau wa maendeleo kutoka serikalini, NGOs, wahisani nk. #WPSAgendaTz #GITImpact #WPS











Ukitaka kujifunza namna Ujamaa una faida tembelea ukurasa wa Chinese Embassy in Tanzania




