Lameck ๐Ÿš‘๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@drlameckfocusco) 's Twitter Profile
Lameck ๐Ÿš‘๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@drlameckfocusco

GENTLEMAN
Now located at KILIMANJARO

ID: 1610395557260046336

calendar_today03-01-2023 22:00:36

10,10K Tweet

759 Takipรงi

1,1K Takip Edilen

D A L A L I (@_zolendronic) 's Twitter Profile Photo

Ukute wanaogopa kumwachia Lissu maana wanajua atatwambia kila kitu namna walivyoenda gerezani kumlaghai atuuze.. Uzuri m/kiti wangu hana kaba, and I love it๐Ÿ˜Ž

Malafyale (@mwansasusnr) 's Twitter Profile Photo

Wafanyabiashara msaada kidogo, Kwa nini watu wengi mnaishia kuagiza tu Boda ninyi wenyewe hamjihusishi na hiyo Biashara? Nilikuwa nadhan ukifikisha mzigo (hasa wa hela nying) na wewe ukiwepo inakuwa bora zaidi na hata kuongeza mahusiano na mteja hasa akiwa mpya? Au mnatunza MUDA?

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo February 17, 2026 Jana tuliishia Part 182 so leo tunaendelea na-; Part 183 Mhe. Tundu Lissu ameingia muda huu leo makamanda wanaimba Shujaaa Shujaaa Shujaa. Amepiga Tshirt yake nyeusi hapa. Majaji nao wanaingia kama kawaida yupo 1. Jaji

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 184 Wakili wa Serikali anaendelea kumuongoza shahidi Jaji: Endeleeni Wakili: Eheee kikaendelea nini? ASP Geofrey Lutufye: Nilivyowakuta wale vijana waliokuwa wanakula njama nikawaambia wako chini ya Ulinzi. Jaji: Hiyo MIC ameshikaje mbona

Khamenei.ir (@khamenei_ir) 's Twitter Profile Photo

The US President keeps saying that they have the strongest military force in the world. The strongest military force in the world may at times be struck so hard that it cannot get up again.

Khamenei.ir (@khamenei_ir) 's Twitter Profile Photo

The Americans constantly say that theyโ€™ve sent a warship toward Iran. Of course, a warship is a dangerous piece of military hardware. However, more dangerous than that warship is the weapon that can send that warship to the bottom of the sea.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Leo TAL anamsomea shahidi PGO kifungu kwa kifungu. Nukta kwa nukta. Jamaa amesema ni kiongozi wa kikosi cha โ€˜Special Anti-Robbery Squadโ€™ Arusha. Shahidi amepikwa ipasavyo kama githeri. Show linaanza TAL anasema โ€˜leo umeingia kwenye 18 zanguโ€™ halafu anafunua PGO 236 anamsomea

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 185 Mhe. Lissu anaendelea na maswali ya dodoso. Mhe. Lissu: Nani alikuandikia hayo maelezo? ASP Geofrey Lutufye: Niliandika mwenyewe. Mhe. Lissu: Nani alikupa onyo wakati unaandika hayo maelezo? ASP Geofrey Lutufye: Hakuna aliyenipa onyo.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 186 ASP Geofrey Lutufye : Ni kweli yangu. Mhe. Lissu: Ni sheria gani inayosema ni kosa la jinai? ASP Geofrey Lutufye : Siwezi kujua. Mhe. Lissu: Sasa ulienda kukamata watu kwa kosa gani walilofanya wakati hujui kosa lao? Ulienda kuwakamatia

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 187 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi ASP Geofrey Lutufye. Mhe. Lissu: Mnajifanya mapolisi mnawasingizia watu vitu vya bure haya itakushangaza hao mliowakamata baada ya kesi yao kuisha ni mashahidi wa kesi hii? ASP

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 188 Mahakama imerejea. Majaji wameingia muda huu saa tisa. Mhe. Tundu Lissu yupo. Cha ajabu Mawakili wa Serikali hawapo. Mh. Lissu ameuliza Jamhuri imekimbia. Watu wanacheka.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Majaji wako pale mbele. Hakuna kinachoendelea muda huu.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Itashangaza sana Mahakama ikimkuta SC Tundu Lissu na kesi ya kujibu wakati prosecution case ni tia maji hivi. Tunapotezeana muda tu. Free Tundu Lissu Now!!

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 189 Wakili wa Serikali anaendelea kumuongoza shahidi wa kificho P4 Wakili: Nini kingine? Shahidi wa kificho P4 : Tulivyoenda kuripoti Tarehe 17/04 tuliambiwa tusubiri tuandikwe maelezo, nikaandikwa hayo maelezo. Wakili: Unamfahamuje huyo Tundu

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 190 Mhe. Lissu anaendelea na kumfanyia cross examination Shahidi wa kificho P4 Mhe. Lissu: Ulisema ulikuwa unaperuzi kwa simu yako majira ya Mchana, waeleze kwenye hayo maelezo, maneno hayo yapo? Shahidi wa kificho P4 : yuko kimya. Shahidi wa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 191 Jaji Ndunguru anawaita upande wa Serikali kwa ajili ya Re-Examination Wakili wa Serikali anasema hawatakuwa na maswali. Jaji Ndunguru : Shahidi sasa uende tumemalizana. Shahidi anasepa. Renatus Mkude: Tunae shahidi P7 tunaomba yeye

Malcolm ๐Ÿ† (@mlinganya) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke huna bikra na kuzaa umezaa, unajipangia mwanaume wa kukuoa , awe na hela, Mweusi, Mrefu, Handsome ,mahari million 3, siolewi na mwanaume asiye na malengo na Mipango ya Maisha, ujana wako ulikula na nani Leo utake mtoto wa mwanamke mwenzako aanze kuwa na Mipango au