dm monster (@dmmonster19) 's Twitter Profile
dm monster

@dmmonster19

available

ID: 1715801042388930560

calendar_today21-10-2023 18:44:23

106 Tweet

58 Takipçi

55 Takip Edilen

Ambele Young (@ambele_young) 's Twitter Profile Photo

AD NAOMBA RETWEETS WAKUU Changamkia fursa badala ya 110,000/= sasa hivi unaipata kwa 100,000/= Bei mpya za vifurushi: 📶 70,000/= 25Mbps (siku 30) ⚡ 100,000/= 40Mbps (siku 30) 📞 Mawasiliano: 📲 Simu: 0693947007 💬 WhatsApp: wa.me/255693947007 📩 DM: amos richard

AD

NAOMBA RETWEETS WAKUU

Changamkia fursa badala ya 110,000/= sasa hivi unaipata kwa 100,000/=

Bei mpya za vifurushi:
📶 70,000/= 25Mbps (siku 30)
⚡ 100,000/= 40Mbps (siku 30)

📞 Mawasiliano:
📲 Simu: 0693947007
💬 WhatsApp: wa.me/255693947007
📩 DM: <a href="/amosrichar14147/">amos richard</a>
Kante (@mkulimakante) 's Twitter Profile Photo

Wagonga ulimbo miongoni mwa harakati ya kibabe ni hii hapa ukiipiga wiki moja tu lazima mikono yako iwe migumu kama jiwe walilolikataa waashi. Hii ni zaidi ya GYM afu hapo ngoma inapigwa kuanzia saa moja asubuhi hadi kumi na mbili jioni,🙌🙌

Wagonga ulimbo miongoni mwa harakati ya kibabe ni hii hapa ukiipiga wiki moja tu lazima mikono yako iwe migumu kama jiwe walilolikataa waashi.

Hii ni zaidi ya GYM afu hapo ngoma inapigwa kuanzia saa moja asubuhi hadi kumi na mbili jioni,🙌🙌
Kante (@mkulimakante) 's Twitter Profile Photo

Wagonga ulimbo wenzangu mliopo hapo Moshi naombeni sana tumsaidie mdogo wetu mpendwa kupata mchongo wowote ule.Mdogo wetu hachagui kazi. Natanguliza shukrani🙏🙏🙏

Wagonga ulimbo wenzangu mliopo hapo Moshi naombeni sana tumsaidie mdogo wetu mpendwa kupata mchongo wowote ule.Mdogo wetu hachagui kazi.

Natanguliza shukrani🙏🙏🙏