DE BOSS 💰 (@deboss42) 's Twitter Profile
DE BOSS 💰

@deboss42

BE PROUD OF YOUR SELF✊
WAKE UP,PRAY,HUSTLE🙏
MADRID⚪|LIVERPOOL🔴|YANGA🟢|
JOIN ON MY WHATSAPP GROUP FREE TIPS👉
chat.whatsapp.com/GfwlSNY0I6s5WC…

ID: 1622268690426392577

calendar_today05-02-2023 16:20:03

15,15K Tweet

1,1K Takipçi

596 Takip Edilen

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Mungu awabariki sana wote jana mapenzi yenu yalini heremea sikuweza kujibu jumbe zenu zote kwakweli🙌🏿 Kutoka ndani ya moyo wangu ninashukuru sana, Na Mungu azidi kutubariki sote tulio chagua kukaa upande wa Utu na Haki🙏 Swala la kuolewa nalifanyia kazi 😂😂Mbarikiwe💜

Mungu awabariki sana wote jana mapenzi yenu yalini heremea sikuweza kujibu jumbe zenu zote kwakweli🙌🏿

Kutoka ndani ya moyo wangu ninashukuru sana, Na Mungu azidi kutubariki sote tulio chagua kukaa upande wa Utu na Haki🙏

Swala la kuolewa nalifanyia kazi 😂😂Mbarikiwe💜
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote. Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki. Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na ulemavu. Ametoa pole kwa wote waliopoteza mali pia. Damu ya wenzetu haijamwagika

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Watu wengi wananiuliza msimamo wangu ni Upi… Kutokana na KAULI ZA VIONGOZI WA BAKWATA… Binafsi… SIWAUNGI MKONO hata kidogo💯 ila hilo haliwezi nifanya nikawatusi au kuwavunjia heshima Hadharani… Wala Muislamu kamili hawezi fanya hivyo! Kikubwa cha

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ile video tusingeonyeshwa MAFRIJI ya Mochwari na yale mashuka ya MSD wakina MURILO wangebisha wangesema ni AI. Mungu FUNDI kila kitu walichofanya GIZANI sasa kipo NURUNI.🙏🏿

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Kuna Muda unasema naogopa kuangalia video za Mange ila kuna watu wanafungua kila video kwa imani labda wanaweza pata ndugu zao 🙌🏿💔Maumivu ni makali.

Kuna Muda unasema naogopa kuangalia video za Mange ila kuna watu wanafungua kila video kwa imani labda wanaweza pata ndugu zao 🙌🏿💔Maumivu ni makali.
Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Ni siku nyingine tena ya kukumbushana kuwa, wale hawakuwa wanyama ila ni BINADAMU. Hawakuokotwa bali WALIZALIWA, Wana Wazazi, Wana Watoto,Ndugu,Jamaa na Marafiki pia. Hatuwezi kuishi kwa kuigiza kama vile hakuna kilichotokea 💔🚶🏾‍♂️

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Kujadili UTEUZI WA MAWAZIRI… Eti Fulani Kaachwa Fulani kateuliwa… Ni kwamba UMESHABARIKI UCHAFUZI ULIOTOKEA… Na nikuwakosea heshima Ndugu zetu waliofariki Kwenye Harakati… Tuwachunie- kausha… Tujadili mambo mengine Kama hauna mada ni BORA KUKAA KIMYA!

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Kupost ishu za Fulani kachaguliwa WIZARA fulani, ni USALITI kwa Wanetu walioporwa UHAI { oct29 } 💔 Narudia kwa kukazia 👇🏽 KUPOST ISHU ZA FULANI KACHAGULIWA WIZARA FULANI, NI USALITI KWA WANETU WALIOPORWA UHAI OCTOBER 29 JISHIKILIENI WAZEE 🚶🏾‍♂️

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Kuitwa mfata MKUMBO kisa kudai HAKI na utawala bora wa Sheria kusikutoe Mchezoni Mkuu. Ni kheri kuwa Mfata MKUMBO katika Upande wa HAKI, kuliko kujiona MWENYE AKILI katika upande wa DAMU 🚶🏾‍♂️

The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Mungu amtunze sana Mh Tundu Antiphas Mughwai Lissu, ili hata sisi tukifa vizazi vyetu vije vijifunze, vijivunie na vi-enjoy Matunda yake.

Mungu amtunze sana Mh Tundu Antiphas Mughwai Lissu, ili hata sisi tukifa vizazi vyetu vije vijifunze, vijivunie na vi-enjoy Matunda yake.
MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Kila nikimuona Niffer moyo wangu unavuja damu, huyu ni msichana ambaye hakustahili hata robo ya maumivu anayobeba leo, kwa kipi haswa cha ajabu alichofanya😡 Tumemwangusha kama jamii tumemnyima sauti, tumemnyima ulinzi, na tumemuacha apigane na maumivu peke yake, imagine hawa

Kila nikimuona Niffer moyo wangu unavuja damu, huyu ni msichana ambaye hakustahili hata robo ya maumivu anayobeba leo, kwa kipi haswa cha ajabu alichofanya😡

Tumemwangusha kama jamii tumemnyima sauti, tumemnyima ulinzi, na tumemuacha apigane na maumivu peke yake, imagine hawa
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Davido atupe LINK sasa ya kumpigia kura huko GRAMY tukafanye kazi hiyo kwa WIVU MKUBWA. Kila anaeshindana na DAVIDO kwenye GRAMMY ajue anashindana na Gen z wa bongo. Tutamchagua DAVIDO KWA WIVU MKUBWA SANA. TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Davido atupe LINK sasa ya kumpigia kura huko GRAMY tukafanye kazi hiyo kwa WIVU MKUBWA.

Kila anaeshindana na DAVIDO kwenye GRAMMY ajue anashindana na Gen z wa bongo. Tutamchagua DAVIDO KWA WIVU MKUBWA SANA.

TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

TUPATE COMMENTS ZA #D9 ZA KUTOSHA NIONE KAMA MPO GUYS. TEMA MOTO KWENYE COMMENT KAMA DRAGON🔥🔥🔥🔥 #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

TUPATE COMMENTS ZA #D9 ZA KUTOSHA NIONE KAMA MPO GUYS.

TEMA MOTO KWENYE COMMENT KAMA DRAGON🔥🔥🔥🔥

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Anaitwa CP JOHN KAAYA yupo kwenye DAWATI LA DORIA MITANDAONI—huyu alikuwa Shahidi namba mbili kwenye KESI ya Tundu Lissu. 9.11.2025 alinitumia EMAIL kupitia Gmail account ya “Crime desk Tanzania” na kunitisha na kuwa WATANIPATA TUU ni suala la Muda. Sikumjibu kitu maana meseji

Anaitwa CP JOHN KAAYA yupo kwenye DAWATI LA DORIA MITANDAONI—huyu alikuwa Shahidi namba mbili kwenye KESI ya Tundu Lissu.

9.11.2025 alinitumia EMAIL kupitia Gmail account ya “Crime desk Tanzania” na kunitisha na kuwa WATANIPATA TUU ni suala la Muda. Sikumjibu kitu maana meseji
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

2023 & 2024 Mimi na mwanangu tulipiga kazi kubwa sana kuhakikisha wacheza KAMALI wanakuwa Proud na kazi yao na wasiifanye kwa VICHO. Rekodi zipo wazi. 2025 mimi nilikuwa BIZE na kupambania HAKI NA UKOMBOZI aa taifa, mwanangu aliendelea kuhakikisha KAMALI inaheshimika na aliweza

2023 & 2024 Mimi na mwanangu tulipiga kazi kubwa sana kuhakikisha wacheza KAMALI wanakuwa Proud na kazi yao na wasiifanye kwa VICHO. Rekodi zipo wazi.

2025 mimi nilikuwa BIZE na kupambania HAKI NA UKOMBOZI aa taifa, mwanangu aliendelea kuhakikisha KAMALI inaheshimika na aliweza