Dickson Butongo (@dbutongo) 's Twitter Profile
Dickson Butongo

@dbutongo

ID: 1572723559100727306

calendar_today21-09-2022 23:05:26

2,2K Tweet

272 Takipçi

498 Takip Edilen

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE. 1. Anauza duka la mtu. 2. Migahawani na mahotelini. 3. Bar maid. 4. Muhudumu wa Guest house/Lodge. 5. Muigizaji. 6. Mnenguaji. 7. Saloon za kiume. 8. Muhudumu wa magari. 9. Agent stendi. 10. Mtembeza mboga + matunda. Hiyo

ZITATU (@max_zitatu) 's Twitter Profile Photo

Unaweza kumuona mwanamke wako ni mpole sana, unaweza kumuona mwanamke wako ana heshima sana, unaweza kumuona mwanamke wako yuko na wewe tu.. Ila uhalisia wa mwanamke wako upo kwenye simu yake.

ZITATU (@max_zitatu) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke akiwa na vitabia ambavyo unaona sio vizuri, jambo la kufanya ni kumuacha. Ukitaka kujifanya wewe ni mwokozi, kwamba uanze jitihada za kutaka kumbadirisha, utajuta..

MTIA MOYO 👑 (@mtia_moyo) 's Twitter Profile Photo

Ukimuongoza vizuri mwanamke umeyaweza maisha yako. Kuoa mwanamke usiyemudu kumuongoza umefeli maisha. Muongoze kwa wema katika njia njema mtabarikiwa 🥰

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Pesa inatafutwa kwa nguvu na akili sana. Anapoukunjua mkono wake mtu yeyote akakupa hata elfu moja yake ambayo hakuna kazi uliyomfanyia ila tu mtu huyo amekufanyia hisani mheshimu na uwe na shukrani sana.

ZITATU (@max_zitatu) 's Twitter Profile Photo

Si kuna washkaji unawaona wanamfukuzia demu wako ?? Sasa inatakiwa uwe na furaha sana kama wakimpata.. Wachache wanaelewa hii..

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Amka nenda kafungue Radio ya Familia, piga ngoma za kidhungu tuu hasa zile "Country" 😂 Sauti isiwe chini ya 85% Mkuu, Mara moja moja Ashumu hapo ni kwako, Fanya maamuzi unayotaka wewe Mkuu.... Jobless tuukatae unyonge🤝🏽

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Kila nikikumbuka kuwa, Alikuwepo Mama Dullah kabla yangu.... Na ameendelea kuwepo hata baada ya ujio wangu Duniani, Nazidi kupata sababu ya KUMPENDA,KUMUHESHIMU, KUMTHAMINI sana aisee 🙌🏽 MUNGU wabariki sana wazazi wetu waliopo HAI, na hata kwa wale wanetu ambao Wazazi wao

Msomi Khan 🇹🇿 (@msomikhan18) 's Twitter Profile Photo

Ukipata nafasi ya Kuiona siku Mpya huna budi Kusema Asante MUNGU. Uwe na Siku Njema wewe na Familia yako Mwanangu katika Utafutaji 🙏

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Ni weekend tayari, ni vyema tukubaliane hapa, KIWAKE leo ama kesho??? Weekend bila VITA ni JUMATATU ya Njaanwarii tuu 😂 Kiwakeeeee