David Kiarie Wa Subukia (@davidkiariewas3) 's Twitter Profile
David Kiarie Wa Subukia

@davidkiariewas3

I will be the best this time

ID: 1387328167736750084

calendar_today28-04-2021 08:50:06

570 Tweet

14 Takipçi

22 Takip Edilen

David Kiarie Wa Subukia (@davidkiariewas3) 's Twitter Profile Photo

#GoodEveningKenya Jk Mimi nakumbuka vizuri sana sheria ya mpira huku kwetu subukia kahiga ilikuwa ukikanyanga mpira upondeke hiyo ni vita bila shaka na ingine ilikuwa ukivunja mtu kwa mguu labda uhame kwa kijiji ata mandevu anafahamu Nichezee ngoma ya Saida karoli baba tajiri

Evelyn Musilivi (@emisirivi) 's Twitter Profile Photo

Karibu twende Kwa nyumba ya bwana Kwa shangwe na furaha..Ndani ya Gospel Ruka uko Nani Evelyn musilivi .Check point yako ni gani? Twitter @bhusema Evelyn Musilivi

Karibu twende Kwa nyumba ya bwana Kwa shangwe na furaha..Ndani ya Gospel Ruka uko Nani Evelyn musilivi .Check point yako ni gani?
Twitter @bhusema
Evelyn Musilivi
David Kiarie Wa Subukia (@davidkiariewas3) 's Twitter Profile Photo

#MavunoDrive Good evening emisiviri uko vipi hapo kwa studio sisi huku subukia kahiga tuko chonjoooo naingia na Crarige miroya wa kabirian,,Hellen Eliza na Tend,,Call Her Dee Evelyn Musilivi

Victor Mandala (@victormandalamc) 's Twitter Profile Photo

HOSSANA MACHEO:- WIMBO WA SIKU:-:Chaguo lako ni lipi kati ya:- 1 - Umenibeba - Tumaini, 2 - Alitakalo Analitenda - Upendo Nkone? #Hossanamacheo #Restoration Twitter: @victormandalamc Biblia Husema 96.7fm SMS Line & Whatsup: 0110089270 Violet Karani @SirBucachiAbu David Kiarie Wa Subukia

David Kiarie Wa Subukia (@davidkiariewas3) 's Twitter Profile Photo

#HossanaMacheo Good morning Victor salimia hao wageni wetu na umwambie wakanyangie hapo swali kama huku kwetu subukia kahiga kuna ufisadi mwingi sana tunaweza aje kuimaliza Victor Mandala

Mtoto Mzuri-SuperChonnie (@mtotomzuri001) 's Twitter Profile Photo

By Shore I love you baibe...the baby to the Sun...the sun to the....? Nani akumbuka huu wimbo wa mchezo wa Kitoto? Njoo tukumbushane zaidi kwenye #Tafrija KBC Radio Taifa Rashid Mwamkondo na Mtoto Mzuri-SuperChonnie Leo mambo ki TbT

By Shore I love you baibe...the baby to the Sun...the sun to the....?
Nani akumbuka huu wimbo wa mchezo wa Kitoto?
Njoo tukumbushane zaidi kwenye #Tafrija KBC Radio Taifa
Rashid Mwamkondo na Mtoto Mzuri-SuperChonnie
Leo mambo ki TbT
Mtoto Mzuri-SuperChonnie (@mtotomzuri001) 's Twitter Profile Photo

Usinisemee..kama napenda Kula asema Ali Kiba... KBC Radio Taifa #Tafrija ki TBT leo..tamu sana hino.. lakini somo gani ulipenda zaidi shuleni..tupe story tuvute kumbukumbu pamoja Rashid Mwamkondo na Mtoto Mzuri-SuperChonnie

Mtoto Mzuri-SuperChonnie (@mtotomzuri001) 's Twitter Profile Photo

#Moyente.....awilo longomba, hewani sasa.. ndivyo mambo yanavyoanza leo kwenye Rhumba Medicale hour...ya #TAFRIJA KBC Radio Taifa Rashid Mwamkondo na Mtoto Mzuri-SuperChonnie tumeandaa lingala ya kasi tupu leo ni kuruka majoka tu...😆😆 twende....

#Moyente.....awilo longomba, hewani sasa..
ndivyo mambo yanavyoanza leo kwenye
Rhumba Medicale hour...ya
#TAFRIJA KBC Radio Taifa Rashid Mwamkondo na Mtoto Mzuri-SuperChonnie tumeandaa lingala ya kasi tupu leo ni
kuruka majoka tu...😆😆
twende....