Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile
Chezalive

@chezalive

All About Football....#Michezolive || Events || Memory || Transfer News|| Makala Za Michezo👇🏼

ID: 1211726735651115008

linkhttps://www.youtube.com/@Chezalive calendar_today30-12-2019 19:12:33

20,20K Tweet

23,23K Takipçi

144 Takip Edilen

Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

✍Alisajiliwa Borussia Dortmund Akiwa na Majeraha Kapona Na Jana Kaweka Kamba Moja Baada Ya Kutoka Majeraha. Ni ndoto ya kila mchezaji kucheza ligi ya mabingwa na jana kaingia kwenye kitabu cha wafungaji kwenye michuano hii mikubwa.

✍Alisajiliwa Borussia Dortmund Akiwa na Majeraha Kapona Na Jana Kaweka Kamba Moja Baada Ya Kutoka Majeraha.

Ni ndoto ya kila mchezaji kucheza ligi ya mabingwa na jana kaingia kwenye kitabu cha wafungaji kwenye michuano hii mikubwa.