Century CL (@centurycl) 's Twitter Profile
Century CL

@centurycl

Award Winning Social Media Management, Sports, Entertainment & Creative Agency. ~ Creative Hub.

ID: 1536613059728400384

calendar_today14-06-2022 07:35:09

229 Tweet

372 Takipçi

36 Takip Edilen

Temidayo (@thisistemidayo) 's Twitter Profile Photo

2024 Tanzania Social Media Trends: Navigate the Currents with Confidence. As a Digital PR Specialist, I'm constantly tracking the evolving social media landscape. Here are key trends brands need to navigate in 2024: Short-form Videos Reign: Micro-content wins! Bite-sized video

2024 Tanzania Social Media Trends: Navigate the Currents with Confidence.

As a Digital PR Specialist, I'm constantly tracking the evolving social media landscape. Here are key trends brands need to navigate in 2024:

Short-form Videos Reign: Micro-content wins! Bite-sized video
HakiRasilimali (@hakirasilimali) 's Twitter Profile Photo

From boardrooms to mining sites, women play a vital role in the extractive sector. It’s time to invest in their leadership, skills, and opportunities. Together, we can accelerate progress and drive positive change. HakiRasilimali #InternationalWomensDay

From boardrooms to mining sites, women play a vital role in the extractive sector. It’s time to invest in their leadership, skills, and opportunities. Together, we can accelerate progress and drive positive change. <a href="/hakirasilimali_/">HakiRasilimali</a> #InternationalWomensDay
HakiRasilimali (@hakirasilimali) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mtendaji wa HakiRasilimali Adam Anthony akiwakaribisha wageni kwenye kongamano kujadili masuala mbali mbali yanayowakabili wanawake kwenye sekta ya uziduaji kuelekea siku ya wanawake duniani. #InternationalWomensDay2024 #IWD2024

Mkurugenzi Mtendaji wa HakiRasilimali <a href="/adamthony/">Adam Anthony</a> akiwakaribisha wageni kwenye kongamano kujadili masuala mbali mbali yanayowakabili wanawake kwenye sekta ya uziduaji kuelekea siku ya wanawake duniani. 

#InternationalWomensDay2024 #IWD2024
HakiRasilimali (@hakirasilimali) 's Twitter Profile Photo

'Tunatambua umuhimu wa kutatua changamoto zinazowakabili wanawake katika sekta ya uziduaji. Licha ya mchango wao muhimu, wanawake wanakabiliwa na ubaguzi, ukosefu wa fursa na elimu kwenye sekta ya uziduaji. Hizi changamoto ni endelevu na tunaendelea kuifanyia kazi. Tuna fursa ya

'Tunatambua umuhimu wa kutatua changamoto zinazowakabili wanawake katika sekta ya uziduaji. Licha ya mchango wao muhimu, wanawake wanakabiliwa na ubaguzi, ukosefu wa fursa na elimu kwenye sekta ya uziduaji. Hizi changamoto ni endelevu na tunaendelea kuifanyia kazi.

Tuna fursa ya
HakiRasilimali (@hakirasilimali) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Takwimu inaonesha kwa mwaka wa fedha 2020/21; sekta ya uziduaji ilitengeneza ajira 218,353. Kati ya ajira hizo, wanaume walipata ajira 176,815 na wanawake walipata ajira 41,538 pekee. - Francis Mkasiwa- Haki Rasilimali

Mamlaka ya Takwimu inaonesha kwa mwaka wa fedha 2020/21; sekta ya uziduaji ilitengeneza ajira 218,353. Kati ya ajira hizo, wanaume walipata ajira 176,815 na wanawake walipata ajira 41,538 pekee. 

- Francis Mkasiwa- Haki Rasilimali
HakiRasilimali (@hakirasilimali) 's Twitter Profile Photo

'Tuko kwenye mchakato wa uchakataji wa taarifa kutambua wachimbaji. Lengo letu ni kuwatambua na kufahamu changamoto zao ili tuweze kufahamu njia bora ya kuwasaidia.' -Francis Mihayo, Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini #InternationalWomensDay2024 #IWD2024

'Tuko kwenye mchakato wa uchakataji wa taarifa kutambua wachimbaji. Lengo letu ni kuwatambua na kufahamu changamoto zao ili tuweze kufahamu njia bora ya kuwasaidia.'

-Francis Mihayo, Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini

#InternationalWomensDay2024 #IWD2024
HakiRasilimali (@hakirasilimali) 's Twitter Profile Photo

'Tumejikita kwenye kutoa elimu kwa vikundi kuwasaidia wanawake kubadilika kimtazamo na kielimu pamoja na kuwapa msukumo wa kuingia kwenye mnyororo wa thamani wa sekta ya madini.' Injinia Theostina Mosha- Foundation for ASM Development (FADev) #InternationalWomensDay #InternationalWomensDay2024 #IWD2024

HakiRasilimali (@hakirasilimali) 's Twitter Profile Photo

'Tunawaandaa vijana kupitia mafunzo, kuwaeleza changamoto za sekta na namna ya kuzitatua. Juhudi zetu zilianzia Dar Es Salaam ambako vijana wengi walikua na shauku ya kujua namna ya kuongeza thamani. Mpaka sasa tumeshawapa vijana mafunzo ya kukata madini, kutengeneza bidhaa

HakiRasilimali (@hakirasilimali) 's Twitter Profile Photo

'Ushiriki wa wananchi na wataalam wengine ni muhimu na inasaidia sana kwenye kubadili sheria na kanuni ili kuweka mazingira bora kwa wadau na makundi mbali mbali.' -Francis Mihayo, Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini

'Ushiriki wa wananchi na wataalam wengine ni muhimu na inasaidia sana kwenye kubadili sheria na kanuni ili kuweka mazingira bora kwa wadau na makundi mbali mbali.'

-Francis Mihayo, Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini
HakiRasilimali (@hakirasilimali) 's Twitter Profile Photo

'Tume ya madini imetoa leseni 33 kwa vikundi vya Tanzania Women Miners Association (TAWOMA)' -Salma Kundi Ernest, Katibu Mkuu Tanzania Women Miners Association (TAWOMA)

HakiRasilimali (@hakirasilimali) 's Twitter Profile Photo

'Mabadiliko yoyote ya kisera lazima yapate ushiriki wa wadau kuhakikisha mabadiliko hayo yanakua ya tija.' - Francis Mihayo Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini #InternationalWomensDay2024 #IWD2024 #InternationalWomenDay

'Mabadiliko yoyote  ya kisera lazima yapate ushiriki wa wadau kuhakikisha mabadiliko hayo yanakua ya tija.'

- Francis Mihayo Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini

#InternationalWomensDay2024 #IWD2024 #InternationalWomenDay
HakiRasilimali (@hakirasilimali) 's Twitter Profile Photo

Injinia Theonestina Mwasha kutoka Foundation for ASM Development (FADev) akitoa jambo kwenye Kongamano kuelekea kilele cha siku ya wanawake duniani. #IWD2024 #InvestInWomen #InspireInclusion

Injinia Theonestina Mwasha kutoka <a href="/fadevtz/">Foundation for ASM Development (FADev)</a> akitoa jambo kwenye Kongamano kuelekea kilele cha siku ya wanawake duniani.

#IWD2024 
#InvestInWomen
#InspireInclusion
HakiRasilimali (@hakirasilimali) 's Twitter Profile Photo

'Pendekezo letu ni uwepo wa mifuko michache yenye nguvu na inayoweza kuleta tija kwa wananchi.' -Oswald Karadisi, Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi

'Pendekezo letu ni uwepo wa mifuko michache yenye nguvu na inayoweza kuleta tija kwa wananchi.'

-Oswald Karadisi, Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi