Asante Mama, umeondoa ‘Second Selections.’
Kwa mara ya kwanza, miaka minne mfululizo, kidato cha kwanza wamejiunga shule kwa pamoja.
#OktobaTunatikiSamia
Ruzuku kwenye pembejeo za kilimo (mbolea, mbegu, dawa) inatatua tatizo linalokabili nusu ya wakulima nchini.
Kilimo ni maisha ya wananchi. Mama anawekeza kwenye Maisha yao.
#OktobaTunatikiSamia