Bongo wakianza ng'ang'ania kitu ni mpaka kiseme.
Siku hizi kila EP inayotolewa lazima ipatikane sound ya Mnanda ndani yake.
Enewei sio jambo baya ila kama ni kwa leo la kuikuza Sound yetu zaidi, zitolewe kama "Singo Project" ๐ถ๐พโโ๏ธ
Nyumba zetu za uswazi, unaelekea chooni unakuta mzigo upo pale juu, ile unaamua kuahirisha zoezi na kurudi gheto
Unakutana na jirani anaelekea chooni pia ๐
Unatamani uanze kumwambia kuwa umeyakuta ila kwenye kuaminika ndio kipengele ๐
Usiwahi kurudisha mtu aliyewahi kuwa rafiki au hata ndugu maishani mwako, ambaye aliharibu sifa yako, tabia yako, hali yako ya kifedha, au mahusiano yako.
Tff na viongozi wake wote na bodi ya League wajiuzulu watafitwe watu wanaojua mambo ya mpira, pia mpira hauhusiani na serikali ๐ฏ hii sector inajitegemea yenyewe na inasheria zake.
Hakuna kipya kilichofanya nishtuke, ni MBOSSO yule yule wa siku zote.
Ingawa ni kazi nzuri sana ila anasikika MBOSSO yule yule.
7.5/10 ๐ฅ
PAWA ndio ngoma yangu bora โ๏ธ