Ayoub the Great 🧠 (@ayoubjohn987) 's Twitter Profile
Ayoub the Great 🧠

@ayoubjohn987

phone & computer 🖥️ technician 💪 🪛.
man city na Barcelona forever.

ID: 1596233078103572480

calendar_today25-11-2022 20:03:32

18,18K Tweet

3,3K Takipçi

3,3K Takip Edilen

calleb🇰🇷 (@calleb_25) 's Twitter Profile Photo

Endelea kusonga,kushindwa ni sehemu tu ya safari ya mafanikio Pia tambua uko karibu sana na ndoto zako kuliko unavyodhania💪

𝐈́𝐦𝐦𝐚𝐧𝐮𝐞𝐥 (@njamasi__) 's Twitter Profile Photo

Kuliko kuendelea kuficha simu yako wakati ukiwa na mpenzi wako, Kwanini usidate na huyo anaesababisha unaficha simu ukiwa na mpenzi wako? 🤔🙄

EAST 24. (@gbarrnet) 's Twitter Profile Photo

Vuta Shisha,Kunywa Pombe 🍻 ,Tumia vidonge💊 vya kuzuia Mimba, Nenda Club with your Boyfriend But remember ones thing. 🕰️Muda Wake Ukifika Wakujenga Maisha Atachagua Bint Mzuri Mwenyetabia Njema Kisha Atakutolea Wew Mfano Mwanamke Asie Deserved NDOA👰‍♀

Eng Gutty (@gutty277) 's Twitter Profile Photo

good morning brother &sisiter mapenzi hayakupeleki popote zaidi uchumi wako ukiyumba utaachwa na hata uliemuamini ndo chanzo cha kuchukia mapenz📌

HUNTER (@hunterjay12345) 's Twitter Profile Photo

Mimi na Mke wangu tunajivunia kuwa na watoto wetu wanaotusikiliza.. Tumepanga kwenda mapumziko nchini Ufaransa, Naombeni sehemu nzuri za kupumzika ufaransa kwaajili ya familia yangu..

Mapo (@nhanapaul) 's Twitter Profile Photo

, unajua kwamba Ngamia ndiye anaye na maziwa yenye afya zaidi? Ingawa unaweza kufikiri ngamia hutumiwa kwa usafiri pekee, watu wa Mashariki ya Kati, Asia, na tamaduni za Kiafrika wamekunywa maziwa ya ngamia kwa karne nyingi. Kwa kweli, inatafutwa sana. Tazama thread 👇

, unajua kwamba Ngamia ndiye anaye na maziwa yenye afya zaidi? 

Ingawa unaweza kufikiri ngamia hutumiwa kwa usafiri pekee, watu wa Mashariki ya Kati, Asia, na tamaduni za Kiafrika wamekunywa maziwa ya ngamia kwa karne nyingi. Kwa kweli, inatafutwa sana.

Tazama thread  👇
ELIAS💫 (@eliaskaneke) 's Twitter Profile Photo

Kwa bahati mbaya sana,tunaishi na wanafiki marafiki,wasaliti marafiki,waongo marafiki,wafitini marafiki,walichoshindwa ni kukuuwa tu,shida ni marafiki na hatuwaju..Ishi nawatu vizuri na akili sana✍️

S O B R I E T Y ☘️ (@andrewnazaren) 's Twitter Profile Photo

Ili Kiatu chako pendwa kiweze kidumu na usikichoke basi usipende kuvaa mara Kwa mara Jaribu kukinunulia Sandals na Ndala Viwe vinasaidiana Hii tweet haihusiani na 👟

👽MBWA MZEE (@oxygen_fuvu) 's Twitter Profile Photo

HII NI KWA WALE WAZEE WA KITONGA🔥🔥😁 Fanya kama ifuatavyo ujipatie header kama ya Venga BURE (Ukichelewa sina Msaada) Fanya hivi👇 ✔️✔️NIFOLLOW ✔️✔️LIKE AND REPOST ✔️✔️COMMENT “BADO” ⚠️UKihitaji yenye picha yako au unavyotaka wewe njoo DM kwa bei kitonga📲

HII NI KWA WALE WAZEE WA KITONGA🔥🔥😁

Fanya kama ifuatavyo ujipatie header kama ya <a href="/capitanpapilon/">Venga</a> BURE (Ukichelewa sina Msaada) Fanya hivi👇
✔️✔️NIFOLLOW
✔️✔️LIKE AND REPOST 
✔️✔️COMMENT “BADO”

⚠️UKihitaji yenye picha yako au unavyotaka wewe njoo DM kwa bei kitonga📲