Ndugu zangu wakubwa shikamooni Kwa rika langu habari zenu. Kuna tatizo la kifamilia linahusu ardhi. Kuna tajiri amevamia eneo letu la familia yapata zaidi ya miaka 10. Hukumu ilitolewa Jana 6/05)2022. Ndugu mngesikia hukumu iliyotolewa na mashahidi waliosema ni tofauti