amrythompson (@amrythompson) 's Twitter Profile
amrythompson

@amrythompson

๐Ÿ›’๐Ÿ’ญMuuza mitumba๐Ÿ›๏ธ

ID: 1157377857452158981

calendar_today02-08-2019 19:49:19

9,9K Tweet

1,1K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

YOU WANT TO IMPROVE YOUR HORSEPOWER ENERGY + LIBIDO...?? Hapa kuna Kegel Exercises, (video kwenye comment) Kuimarisha misuli ya uume na nyonga. FIVE VIDEO THREAD (BOOKMARK)๐Ÿงต

YOU WANT TO IMPROVE YOUR HORSEPOWER ENERGY + LIBIDO...?? 

Hapa kuna  Kegel Exercises, (video kwenye comment) Kuimarisha misuli ya uume na nyonga.

FIVE VIDEO THREAD (BOOKMARK)๐Ÿงต
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

KANISA KATOLIKI LA ROMA LIMETOA MAAGIZO KWA WAUMINI WAKE WOTE KUTOJIHUSISHA NA SIASA. SOMA BARUA HIYO. REPOST 400โœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธ #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿ˜Ž

KANISA KATOLIKI LA ROMA LIMETOA MAAGIZO KWA WAUMINI WAKE WOTE KUTOJIHUSISHA NA SIASA.

SOMA BARUA HIYO.

REPOST 400โœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธ

#NoReformsNoElection 

#TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿ˜Ž
Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Kabla ya kupost hii Movie Naomba nitoe Credit zoote! Kwa Simu kitaa na SNS ๐Ÿ™Œ Sio kitu rahisi kutafsiri hii movie na kuielezea kwa kifupi hivi (Dk 15) Hii Movie ni Funzo kwa wanaotaka kufanya kazi Ugenini. Inaitwa "The Goat Life" Enjoy.. Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Kabla ya kupost hii Movie

Naomba nitoe Credit zoote!

Kwa Simu kitaa na SNS ๐Ÿ™Œ

Sio kitu rahisi kutafsiri hii movie na kuielezea kwa kifupi hivi (Dk 15)

Hii Movie ni Funzo kwa wanaotaka kufanya kazi Ugenini.

Inaitwa "The Goat Life"

Enjoy..

Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡
Eng.Benjamin (@nyalut23) 's Twitter Profile Photo

UHALISIA WA UJENZI. Gharama mpaka hapa 24m 1. Bati bundle 9.25 (kiboko)-5.3 2. Tofari 17000x150-2.6m 3. Mawe trip 15 -1.8m 4. Mbao 680-3.7 5. Fundi kujenga 1.5m 6.Fundi Kupaua- 1.3m 7. Cement 50- 1.1m 8. Nondo 50- 1.3m 9.Grill 10-1.3m 10. Misumali -1m 11. Other - 3.1

UHALISIA WA UJENZI.

Gharama mpaka hapa 24m
1. Bati bundle 9.25 (kiboko)-5.3
2. Tofari 17000x150-2.6m
3. Mawe trip 15 -1.8m
4. Mbao  680-3.7
5. Fundi kujenga 1.5m
6.Fundi Kupaua- 1.3m
7. Cement 50- 1.1m
8. Nondo 50- 1.3m
9.Grill 10-1.3m
10. Misumali -1m
11. Other - 3.1
Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Alipangalo Mungu, Binadamu hawezi kulipangua kabiiiisaaaa!! Kabisaa! Sikiliza hichi kisa mwenyewe.. Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Alipangalo Mungu,

Binadamu hawezi kulipangua kabiiiisaaaa!!

Kabisaa!

Sikiliza hichi kisa mwenyewe..

Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡
๐”๐ƒ-๐๐Ž๐˜ (@udsm_finest) 's Twitter Profile Photo

SIRI YA KIFO CHA MICHAEL JACKSON NA ILLUMINATI Mwaka 1982. Dunia ilitikisika. Albamu ya Thriller ilipotoka, Michael Jackson hakufanana na mtu yeyote. Sauti yake, miondoko yake ya densi, mavazi yake, hata jinsi alivyotazama kamera โ€” yote yalionyesha kwamba hakuwa wa kawaida.

SIRI YA KIFO CHA MICHAEL JACKSON NA ILLUMINATI

Mwaka 1982. Dunia ilitikisika. Albamu ya Thriller ilipotoka, Michael Jackson hakufanana na mtu yeyote.

 Sauti yake, miondoko yake ya densi, mavazi yake, hata jinsi alivyotazama kamera โ€” yote yalionyesha kwamba hakuwa wa kawaida.
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จ๐Ÿ•น๏ธ GEUZA SIMU KUWA GAMEPAD (CONTROLLER) KWA PC AU ANDROID TV โ€“ MWAKA 2025. unajua unaweza kucheza games zako favorite kwa kutumia simu yako kama gamepad (badala ya kununua controller)? ๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

#UZI

๐Ÿ’จ๐Ÿ•น๏ธ GEUZA SIMU KUWA GAMEPAD (CONTROLLER) KWA PC AU ANDROID TV โ€“ MWAKA 2025.

unajua unaweza kucheza games zako favorite kwa kutumia simu yako kama gamepad (badala ya kununua controller)?

๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
Fondre (@utdfondre) 's Twitter Profile Photo

Reporter: Hi Bruno Fernandes, who do you think is the most dangerous player in the German team? How Florian Wirtz tried to show Bruno why he was the best only to get humbled by the best midfielder in the world. Here's a thread on How it started vs how it ended yesterday.

Reporter: Hi Bruno Fernandes, who do you think is the most dangerous player in the German team?

How Florian Wirtz tried to show Bruno why he was the best only to get humbled by the best midfielder in the world.

Here's a thread on How it started vs how it ended yesterday.