Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile
Abdulmajid Nsekela

@amnsekela

Group CEO @CRDBBankPlc | Chairman of @ushirika_tcdc | Former Chairman of @tba_forbankers

ID: 1209840335393886208

linkhttps://crdbbank.co.tz calendar_today25-12-2019 14:16:41

477 Tweet

14,14K Takipçi

56 Takip Edilen

Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Umekuwa wasaa mwingine mzuri wa kukutana na Balozi wa Tanzania 🇹🇿 nchini Uingereza 🇬🇧, Mhe. Balozi Mbelwa Kairuki. Tumezungumza mengi ikiwamo ushirikiano wetu na Ubalozi, Wizara ya Mambo ya Nje na Serikali kwa ujumla kupitia dirisha letu la huduma kwa Watanzania waishio nje ya

It is an honour to participate and engage with different stakeholders in the Africa Head of State Energy Summit in Dar es Salaam. Collaboration in expanding energy access and expediting the continent's clean energy transition is crucial for our collective future. Through

Today, I had an opportunity to attend the second day of the Energy Summit at JNICC in Dar Es Salaam, where I had the pleasure of meeting the esteemed Ambassador of Denmark, Mr. Jesper Kammersgaard, along with his dedicated delegates, Mr. Anders Ørnemark and Ms. Karin Poulsen.

Nimekua na mazungumzo mazuri na Mhe. Shaib Hassan Kaduara, Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar juu ya namna gani Benki yetu na Wizara yake zinaweza kufanya kazi kwa pamoja ili kuboresha sekta ya maji, nishati na madini visiwani Zanzibar. Benki

Nimekua na mazungumzo mazuri na Mhe. Shaib Hassan Kaduara, Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar juu ya namna gani Benki yetu na Wizara yake zinaweza kufanya kazi kwa pamoja ili kuboresha sekta ya maji, nishati na madini visiwani Zanzibar.

Benki
Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Umekua wakati mzuri leo kukutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), CPA Nicodemus Mkama pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam, Peter Nalitolela. Mazungumzo yetu yamejikita katika kuboresha mahusiano baina ya taasisi

Umekua wakati mwingine mzuri siku ya leo kukutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa TBA (Tanzania Bankers Association), Bi. Tuse Joune. Tumepata wasaa ya kuzungumza mengi kwa maendeleo ya sekta ya benki nchini na kukumbushana wakati ambao tulifanya kazi pamoja

Tunapoanza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, napenda kuwatakia Waislamu wote nchini funga yenye heri na kupokelewa na Mwenyezi Mungu. Tudumishe upendo, amani na mshikamano na kuendelea kuwakumbuka wenzetu wenye uhitaji. #ramadhankareem

Tunapoanza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, napenda kuwatakia Waislamu wote nchini funga yenye heri na kupokelewa na Mwenyezi Mungu. Tudumishe upendo, amani na mshikamano na kuendelea kuwakumbuka wenzetu wenye uhitaji. 

#ramadhankareem
Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Tunapoendelea na maadhimisho ya mwezi wa wanawake ambao kilele chake ni Machi 8, leo nikiambatana na viongozi wengine wa Benki yetu nimepata nafasi ya kutembelea Idara yetu ya Mageuzi ya Biashara na kukutana na watendaji wanawake ambao wapo ndani ya Idara hii. Nimewapongeza kwa

Tunapoendelea na maadhimisho ya mwezi wa wanawake ambao kilele chake ni Machi 8, leo nikiambatana na viongozi wengine wa Benki yetu nimepata nafasi ya kutembelea Idara yetu ya Mageuzi ya Biashara na kukutana na watendaji wanawake ambao wapo ndani ya Idara hii. 

Nimewapongeza kwa
Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Leo katika maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Wanawake Duniani nikiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB ambae ni mmoja kati ya viongozi mahiri wanawake katika sekta ya fedha nchini, Ruth Zaipuna pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TCB, Adam Mihayo. Mbali ushindani wetu

I'm honored to participate in the High-Level Conference on Scaling Finance for Smallholder Farmers in Africa at JW Marriott, Nairobi, organized by African Development Bank Group and #PAFO. I will also join a panel discussion on innovative financing models for agriculture and share CRDB Bank PLC’s

I'm honored to participate in the High-Level Conference on Scaling Finance for Smallholder Farmers in Africa at JW Marriott, Nairobi, organized by <a href="/AfDB_Group/">African Development Bank Group</a> and #PAFO.

I will also join a panel discussion on innovative financing models for agriculture and share <a href="/CRDBBankPlc/">CRDB Bank PLC</a>’s
Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Today, I participated in the High-Level Conference on Scaling Finance for Smallholder Farmers in Africa, where I shared insights on Innovative Banking and how CRDB Bank is driving financial inclusion in agriculture. CRDB Bank PLC, we believe innovation isn’t just about new

Today, I participated in the High-Level Conference on Scaling Finance for Smallholder Farmers in Africa, where I shared insights on Innovative Banking and how CRDB Bank is driving financial inclusion in agriculture.

<a href="/CRDBBankPlc/">CRDB Bank PLC</a>, we believe innovation isn’t just about new
Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Tumekua na mazungumzo mazuri na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Chai Tanzania, Bi. Beatrice Banzi alienitembelea leo ofisini. Nikiwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo, nimempongeza kwa jitihada zinazoendelea kufanywa katika kukukuza sekta ya chai nchini na kumhakikishia ushirikiano wa

I had the pleasure of meeting with the team from the African Development Bank (AfDB) for an insightful discussion on deepening our collaboration to accelerate inclusive finance. A key highlight of our conversation was the Affirmative Finance Action for Women in Africa (AFAWA)

I had the pleasure of meeting with the team from the African Development Bank (AfDB) for an insightful discussion on deepening our collaboration to accelerate inclusive finance.

A key highlight of our conversation was the Affirmative Finance Action for Women in Africa (AFAWA)
Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Leo imekuwa siku muhimu kwangu baada ya kukabidhiwa ofisi na vitendea kazi kama mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania (TBT) katika mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika jijini Dodoma. Nimeyapokea kwa unyenyekevu mkubwa maelekezo ya Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa

Leo imekuwa siku muhimu kwangu baada ya kukabidhiwa ofisi na vitendea kazi kama mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania (TBT) katika mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika jijini Dodoma.

Nimeyapokea kwa unyenyekevu mkubwa maelekezo ya Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa
Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Ni heshima kubwa kwangu kutajwa katika orodha ya viongozi 25 bora wa Afrika katika sekta ya fedha na jarida la "African Leadership Magazine". Mafanikio haya si yangu binafsi, bali ni ushahidi tosha wa kazi kubwa inayofanywa na Benki yetu ya CRDB katika kubadilisha maisha ya watu

Ni heshima kubwa kwangu kutajwa katika orodha ya viongozi 25 bora wa Afrika katika sekta ya fedha na jarida la "African Leadership Magazine".

Mafanikio haya si yangu binafsi, bali ni ushahidi tosha wa kazi kubwa inayofanywa na Benki yetu ya CRDB katika kubadilisha maisha ya watu
Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania Bara Tume ya Maendeleo ya Ushirika - TCDC , jana nilipata heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya makabidhiano rasmi kutoka Bodi ya Mpito kwenda kwa Bodi Mpya ya Benki ya Ushirika Tanzania @coopbanktanzania. Nimeipongeza

Nikiwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania Bara <a href="/ushirika_tcdc/">Tume ya Maendeleo ya Ushirika - TCDC</a> , jana nilipata heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya makabidhiano rasmi kutoka Bodi ya Mpito kwenda kwa Bodi Mpya ya Benki ya Ushirika Tanzania @coopbanktanzania. 

Nimeipongeza
Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Leo tumekua na semina nzuri ya wanahisa wetu kuelekea katika Mkutano Mkuu wa 30 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB. Kipekee sana nimshukuru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dr. Philip Isdor Mpango kwa kukubali mwaliko wetu na kutufungulia semina yetu. Vilevile niwashukuru

Leo tumekua na semina nzuri ya wanahisa wetu kuelekea katika Mkutano Mkuu wa 30 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB. Kipekee sana nimshukuru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. <a href="/dr_mpango/">Dr. Philip Isdor Mpango</a> kwa kukubali mwaliko wetu na kutufungulia semina yetu.

Vilevile niwashukuru
Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Alhamdulillah siku ya jana tulikamilisha kwa mafanikio makubwa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 30 wa Benki ya CRDB ikiwa ni tukio la kujivunia tunaposherehekea “Miaka 30 ya Kukua Pamoja na Wanahisa Wetu.” Miongoni mwa mambo muhimu yaliyoidhinishwa katika mkutano mkuu ni gawio la

Alhamdulillah siku ya jana tulikamilisha kwa mafanikio makubwa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 30 wa Benki ya CRDB ikiwa ni tukio la kujivunia tunaposherehekea “Miaka 30 ya Kukua Pamoja na Wanahisa Wetu.”

Miongoni mwa mambo muhimu yaliyoidhinishwa katika mkutano mkuu ni gawio la
Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeshiriki katika harambee ya kuchangia ujenzi wa kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre kinachojengwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT). Katika harambee hiyo iliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Leo nimeshiriki katika harambee ya kuchangia ujenzi wa kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre kinachojengwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).

Katika harambee hiyo iliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,