
AFYA TEMINO
@afyatemino
Radio & TV human Health talk show. 🎤💊🔬🎶. Health is Wealth👌.
ID: 1296104095611334661
19-08-2020 15:18:12
13 Tweet
25 Takipçi
0 Takip Edilen

Leo katika AFYA TEMINO, mada ni 'Uchangiaji damu', tune Highlands FM 92.5 Mbeya Tz 1600-1700 hrs. Tutakuwa na mtaalamu kutoka ofisi ya NBTS TANZANIA Nyanda za juu kusini pale Meta. Nini mtazamo wako juu ya uchangiaji damu? Tutajipatia #KuduAfyaTips kutoka kwa Kuduishe Kisowile