Eng. Amani Abel (@abel_eng) 's Twitter Profile
Eng. Amani Abel

@abel_eng

Agricultural and Mechanization Engineer

ID: 3240168857

calendar_today07-05-2015 09:12:09

1,1K Tweet

206 Takipçi

482 Takip Edilen

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Usisaini mkataba wa kazi au kujadiliana maslahi yako bila ushauri wa Wakili. Sio gharama. Ila ikibidi lipia kulinda thamani na uendelevu wako. Dira ya kampuni ni kuongeza faida. Shauku ya mshahara isiuhemee mjadala wa utu wako.. maana kazi ni kipimo cha utu.

Eng. Amani Abel (@abel_eng) 's Twitter Profile Photo

The late A.M Kibao is believed to be a military man, whom against all odds sustained military trainings, whom against all odds survived Kagera war, whom against all odds served this country with great pride and honor, the assailants snatched him his dear life mercilessly. R.I.P😭

The late A.M Kibao is believed to be a military man, whom against all odds sustained military trainings, whom against all odds survived Kagera war, whom against all odds served this country with great pride and honor, the assailants snatched him his dear life mercilessly. R.I.P😭
EDWIN FWENI (@edwinfweni) 's Twitter Profile Photo

• Marché local et international de l'avocat • Local and international avocado market • Isoko rya avoka ryaho ndetse n’amahanga • Soko la parachichi la ndani na kimataifa

• Marché local et international de l'avocat
• Local and international avocado market
• Isoko rya avoka ryaho ndetse n’amahanga
• Soko la parachichi la ndani na kimataifa
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒 (@barakamaviatu) 's Twitter Profile Photo

E.I.P James Earl Jones. Mzee wetu alitupa coming to America 1&2 Muvi zake nyingine ni Lion king, Star wars na Conan The Barbarian ya Anodi Shoziniga.

E.I.P James Earl Jones. Mzee wetu alitupa coming to America 1&2

Muvi zake nyingine ni Lion king, Star wars na Conan The Barbarian ya Anodi Shoziniga.
Ms.Minnah🧕🌹 (@minnahbanks) 's Twitter Profile Photo

Mathayo5:15-16 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Unatoka diploma unaenda digrii ili siku ukirudi kituo cha kazi angalau upate kitengo. Siku unareport unakuta watu wenye digrii kama yako wa ajira mpya kibao hawana mchongo na wewe wanakuona boya tu. Unaendelea kua mtumwa. Hii sio story ya kutunga.😁

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

WANAFUNZI wangu wawili Ms. Mkelemi na Ms. Kasambala tafiti zao zimekubaliwa (accepted) na journals mbili kubwa za Environmental Sciences: Advances, chini ya Royal Society of Chemistry (RSC) na Biomass Conversion and Biorefinery, chini ya Springer. Titles za tafiti hizi: 1.

WANAFUNZI wangu wawili Ms. Mkelemi na Ms. Kasambala tafiti zao zimekubaliwa (accepted) na journals mbili kubwa za Environmental Sciences: Advances, chini ya Royal Society of Chemistry (RSC) na Biomass Conversion and Biorefinery, chini ya Springer. Titles za tafiti hizi: 

1.
OscarOscar (@mzeewakaliua) 's Twitter Profile Photo

Watu watatu ambao wanakunywa Pombe; 1. Wazee ambao wamemaliza kila kitu. Wamekamilisha kila kitu kwenye malengo yao. 2. Watu ambao wamefanya uwekezaji mkubwa, Pesa inaingia kila dakika hata wakiwa Bar. 3. WAJINGA.

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Sio kila hadithi inahitaji hadhira; kuna sura zingine kwenye hadithi yako zinapaswa kusomwa na wewe pekee, tena kwa kujificha. Faragha ni sehemu ambapo ukuaji wa kweli hutokea, mbali na kelele za dunia yetu hii.

C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Naomba repost yako mtu wa Mungu. Shuka na uzi huu ujionee maajqbu ya hizi bidhaa za Champ. Mafuta ya Nywele ya Champ 💫suluhisho kwa wenye VIPARA vinavyoANZA 💫Hujaza na kurefusha nywele kwa haraka. 💫Hulainisha nywele 💫Hutunza rangi asili ya nywele 💫 kuzuia nywele kukatika

Naomba repost yako mtu wa Mungu.

Shuka na uzi huu ujionee maajqbu ya hizi bidhaa za Champ.

Mafuta ya  Nywele ya Champ

💫suluhisho kwa wenye VIPARA vinavyoANZA
💫Hujaza na kurefusha nywele kwa haraka.
💫Hulainisha nywele
💫Hutunza rangi asili ya nywele
💫 kuzuia nywele kukatika
Eng. Amani Abel (@abel_eng) 's Twitter Profile Photo

Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kiasi kikubwa inahitaji mtu ambaye ni "Less Ambitious", ukiwa too Ambitious you're threat to the sitting president and you've to get shown a way to leave. Maybe Riggy G is too ambitious too. Kwani hakuna feedback so far?

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Supervisor wangu nilipokuwa nasoma yeye ndiye alikuwa ana- submit papers zetu. Paper yetu ikiwa rejected, alikuwa ananiambia YOUR paper was rejected. Paper ikiwa accepted anasema, OUR paper was accepted. Hiyo ilikuwa South Korea, siyo Bongo. Ugonjwa wa supervision ni global. The

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA ASUBUHI +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. Ee Mungu

SALA YA ASUBUHI

+Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.

Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. 

Ee Mungu
Eng. Amani Abel (@abel_eng) 's Twitter Profile Photo

Nyerere anabaki kuwa Rais aliefanikikiwa zaidi Tanzania katika uongozi wake. Seea yake ya ujamaa inaweza kuwa kuwa ilishindwa vibaya mno kiuchumi; ika kijamii ilifanikiwa kuliko kawaida! Hakuitwa Baba wa Taifa just from nowhere!

Nyerere anabaki kuwa Rais aliefanikikiwa zaidi Tanzania katika uongozi wake. Seea yake ya ujamaa inaweza kuwa kuwa ilishindwa vibaya mno kiuchumi; ika kijamii ilifanikiwa kuliko kawaida! Hakuitwa Baba wa Taifa just from nowhere!