Ngadu (@1ngadu1) 's Twitter Profile
Ngadu

@1ngadu1

Real Niggas Move In Silence.

ID: 1508053882446008326

calendar_today27-03-2022 12:10:52

89,89K Tweet

20,20K Takipรงi

9,9K Takip Edilen

โœบ๐‘ด๐’‚๐’“๐’Š๐’‚๐’Žโ… (@mariam255_) 's Twitter Profile Photo

Uelekeo wote ni Mkapa. Taifa Stars ikipambana kwa heshima ya bendera ya Taifa. Ushindi ni lazima, tunawaamini mashujaa wetu leo dhidi ya Afrika ya Kati. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ Linakuja Nyumbani

Uelekeo wote ni Mkapa.

Taifa Stars ikipambana kwa heshima ya bendera ya Taifa. Ushindi ni lazima, tunawaamini mashujaa wetu leo dhidi ya Afrika ya Kati. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ

Linakuja Nyumbani
Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

๐ŸŸ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ UELEKEO KWA MKAPA KUICHEKI TAIFA STARS YA MAMA โšฝ Afrika ya Kati ๐Ÿ†š Tanzania ๐Ÿ“… 16 Agosti 2025 | โฐ Saa 2:00 Usiku ๐Ÿ†kombe Linakujia Nyumbani LIVE Chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Taifa Stars wanaendelea kuibeba heshima ya taifa kwa kishindo na kutufanya

๐ŸŸ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ UELEKEO KWA MKAPA KUICHEKI TAIFA STARS YA MAMA

โšฝ Afrika ya Kati ๐Ÿ†š Tanzania
๐Ÿ“… 16 Agosti 2025 | โฐ Saa 2:00 Usiku
๐Ÿ†kombe Linakujia Nyumbani LIVE

Chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Taifa Stars wanaendelea kuibeba heshima ya taifa kwa kishindo na kutufanya
HER (@heroinelincoln) 's Twitter Profile Photo

Uelekeo ni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa! Taifa Stars ๐Ÿฆ wapo kuonyesha nguvu zao dhidi ya Afrika ya Kati. CHAN 2024, tupo pamoja! โšฝ๐Ÿ”ฅ#kaziNaUtu #TunasongaMbele

Uelekeo ni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa! Taifa Stars ๐Ÿฆ wapo kuonyesha nguvu zao dhidi ya Afrika ya Kati. CHAN 2024, tupo pamoja! โšฝ๐Ÿ”ฅ#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
Muhaluro Jr (@muhaluro1) 's Twitter Profile Photo

Leo ni Jumamosi, tarehe 16 Agosti 2025, tunashuhudia siku kubwa kwa Taifa Stars kwenye CHAN Tanzania ikipambana tena kwenye mechi yake ya mwisho ya kundi B dhidi ya Central African Republic, ikiwa tayari imesonga mbele kwa alama zote 9 na kutia matumaini makubwa kwa taifa zima!

Leo ni Jumamosi, tarehe 16 Agosti 2025, tunashuhudia siku kubwa kwa Taifa Stars kwenye CHAN Tanzania ikipambana tena kwenye mechi yake ya mwisho ya kundi B dhidi ya Central African Republic, ikiwa tayari imesonga mbele kwa alama zote 9 na kutia matumaini makubwa kwa taifa zima!
๐‘ซ๐’“.๐‘ฏ๐’Š๐’๐’‚๐’“๐’š ๐’˜๐’‚ ๐’€๐’‚๐’๐’ˆ๐’‚๐• (@daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

Mkapa ndiyo jukwaa la historia. Taifa Stars wapo tayari kuipigania heshima ya bendera ya Tanzania dhidi ya Afrika ya Kati. Tujitokeze kwa wingi, tuwaunge mkono mashujaa wetu, ushindi ni lazima. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅโšฝ #Tukaijazelupaso

Mkapa ndiyo jukwaa la historia. Taifa Stars wapo tayari kuipigania heshima ya bendera ya Tanzania dhidi ya Afrika ya Kati. Tujitokeze kwa wingi, tuwaunge mkono mashujaa wetu, ushindi ni lazima. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅโšฝ

 #Tukaijazelupaso
One Sister (@rahma_simba) 's Twitter Profile Photo

UELEKEO KWA MKAPA Wakati Taifa letu likiungana kuunga mkono Timu ya Taifa ya Tanzania tunamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza michezo na kuhakikisha vijana wanapata fursa za kucheza, kujenga vipaji na kuinua heshima ya Taifa kimataifa #kaziNaUtu #TunasongaMbele

UELEKEO KWA MKAPA
Wakati Taifa letu likiungana kuunga mkono Timu ya Taifa ya Tanzania tunamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza michezo na kuhakikisha vijana wanapata fursa za kucheza, kujenga vipaji na kuinua heshima ya Taifa kimataifa
 #kaziNaUtu #TunasongaMbele
Ngadu (@1ngadu1) 's Twitter Profile Photo

Uelekeo kwa Mkapa kwenda kushuhudia mbungi la ukweli kutoka kwa team yetu ya Taifa, Taifa Stars dhidi ya Afrika ya Kati. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Wakupaaยฐยฐ (@savasec) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ”ฅ Wakati ni huu! Taifa Stars ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ inapambana dhidi ya Afrika ya Kati ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ซ pale Mkapa ๐ŸŸ๏ธ. Tujitokeze kwa wingi, tuwaunge mkono Mashujaa wetu kwa nguvu zote ๐Ÿ’ช! ๐Ÿ“ Uwanja wa Mkapa | ๐Ÿ—“๏ธ 16 Agosti | ๐Ÿ•‘ Saa 2 Usiku #UelekeoKwaMkapa

๐Ÿ”ฅ Wakati ni huu! Taifa Stars ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ inapambana dhidi ya Afrika ya Kati ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ซ pale Mkapa ๐ŸŸ๏ธ.
Tujitokeze kwa wingi, tuwaunge mkono Mashujaa wetu kwa nguvu zote ๐Ÿ’ช!
๐Ÿ“ Uwanja wa Mkapa | ๐Ÿ—“๏ธ 16 Agosti | ๐Ÿ•‘ Saa 2 Usiku
#UelekeoKwaMkapa
Ngadu (@1ngadu1) 's Twitter Profile Photo

Ndugu mtanzania mwenzangu huu ndiyo wakati wa kuonyesha uzalendo wako kwa kwenda kuisapoti Taifa Stars. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Ngadu (@1ngadu1) 's Twitter Profile Photo

Watanzania tunatakiwa kuonyesha uzalendo wetu kwa kwenda kujaza uwanja wa Benjamin Mkapa kuipa support team yetu ya Taifa, Taifa Stars. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Ngadu (@1ngadu1) 's Twitter Profile Photo

Kombe la CHAN linakuja nyumbani kwasababu team tunayo na support ya hamasa ya Goli la Mama kutoka serikalini tunayo #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Husnaiya (@cutyhusnah) 's Twitter Profile Photo

TAIFA STARS YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IPO KAZINI LEO KWA MKAPA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Linakuja Nyumbani #KaziNaUtu #TunasongaMbele

TAIFA STARS YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IPO KAZINI LEO KWA MKAPA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Linakuja Nyumbani 
#KaziNaUtu #TunasongaMbele