Ivona kamuntu (@ivonakamuntu) 's Twitter Profile
Ivona kamuntu

@ivonakamuntu

Chief Anchor Uhai productions - (AZAM TV).Instagram; http/www.instagram.com/ivonakamuntu. Alumni @usembassyTz. Co host JLW @voaswahili. @WanifraWIN

ID: 973572691

linkhttp://www.azamtv.com calendar_today27-11-2012 09:20:08

22,22K Tweet

54,54K Takipçi

403 Takip Edilen

Ivona kamuntu (@ivonakamuntu) 's Twitter Profile Photo

Nitatangaza leo, huzuni yangu nitaigeuza kuwa furaha uliyonifundisha na kutaka niwe wakati wote, ili moyo wangu usisinyae, nitatanguliza tabasamu langu likawe faraja kwa wote tutakaokukosa duniani, wakati huu nikijiandaa kukuaga babu Jumatano. #Babuuuuu

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Salaam Ndugu Zangu, Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima na leo kupata nafasi ya kuwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo kama Waziri mwenye dhamana. Bajeti ya Wizara ya kilimo imeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 294 mwaka 2021/2022 hadi Shilingi Trilioni 1.248

Ivona kamuntu (@ivonakamuntu) 's Twitter Profile Photo

MUNGU BABA WA MBINGUNI AENDELEE KUKUPA PUMZIKO LA AMANI BABU. Niwe muwazi sikugundua endapo nimemuita Richard Ngaila(Charles) ni @nurdinselemani alinishtua mwishoni kabisa. Namshukuru MUNGU kwa maisha ya Charles, pia kuniletea kijana aliyeamua kufuata ndoto yake kwasababu yetu

Reuters (@reuters) 's Twitter Profile Photo

US attorney general told Trump that his name is among many in the Epstein files, WSJ reports reut.rs/4lPiSzE reut.rs/4lPiSzE

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kikiendelea usiku huu Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kikiendelea usiku huu Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025