Lameck Isaya (@isaya_lameck) 's Twitter Profile
Lameck Isaya

@isaya_lameck

Experienced SEO and SMO digital media marketing expert. I can send quality traffic /visitors to your website and social media that can convert into sales.

ID: 1422573654

linkhttp://www.laimarketing.co.tz calendar_today12-05-2013 08:19:37

100,100K Tweet

26,26K Takipçi

4,4K Takip Edilen

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Subira si udhaifu, ni nguvu ya ndani. Ni kuendelea kufanya yaliyo sahihi hata majibu yanapochelewa. Mungu hufanya kazi katika kusubiri. Kinachochelewa hakikatai bali kinajengwa.

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kati ya Mji ambao ni Strategically Location kati ya Dar na Moro ni Kibaha. Kwanza upo Barabara kuu ya Dar- Moro, hauna msongamano na pressure kubwa kwenye Social services. Upo karibu na Dar, kwenda na Kurudi unaweza kufanya 3 times a day, Mji unafunguka kibiashara,Sifa zingine?

MAIPAMBO JR (@maipambomteta) 's Twitter Profile Photo

Kama unajambo lako linakutatiza na linahitaji maamuzi magumu,amka kuanzia sa9-10 na nusu hivi,shirikisha ubongo wako kikamilifu utapata ufumbuzi,na amini kwamba mawazo utakayo amka nayo hufanya kazi kwa asilimia kubwa sana.

Paschal Mdee (Amir) (@mdeepaschal) 's Twitter Profile Photo

Hii nchi nzuri sana basi tu. Ulisha wahi pita ile njia ya Songea kuelekea Mbinga? My goodness ❤️🙌 Ile barabara🙌 ile view ukiwa kwenye ile miinuko❤️ hali ya hewa❤️🙌 Ukute ni jioni jua linazama kwa mbali then ni kipindi cha baridi hivi pamepoa🙌 una drive🚗

Lameck Isaya (@isaya_lameck) 's Twitter Profile Photo

BEN tatizo wengi wanafikiri kuendeshea ile TTCL ni kazi rahisi, ishu pale ni upande wa Network( kuna stress kubwa hapa) na uwepo wa wazee wengi waliopitia chuo cha TTCL ambao hata ukitaka wastaafu kwa lazima basi lazima itengwe fungu kubwa.

Lameck Isaya (@isaya_lameck) 's Twitter Profile Photo

Ningekuelewa ungesema TTCL nzima ifumuliwe upya hata kwa miezi 12 bila kufanya kazi kwa upande wa Network & Human resource Otherwise tafuta historia ya TTCL tangu 1990's utajua nini kigumu pale na jinsi watu walivyoichezea hii kampuni. Magufuli alionyesha mwanga kuifufua

WHYMYCATISSAD (@influencerjr) 's Twitter Profile Photo

Nimekutana nayo insta jamaa anasema hizi ndo skills zenye fursa kwa hapa Tz 1. Graphics design 2. Content Creation 3. Digital Marketing 4. Social Media Management 5. Website development Hakikisha unajifunza angalau 1 kati ya hizi.

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

📍 Viwanja vinauzwa Ntyuka – Dodoma Km 7 kutoka Dodoma Mjini. Vimepimwa kwa makazi na biashara, eneo limejengeka sana (maarufu kama Ntyuka Maghorofani). Neighbourhood ya nyumba za kisasa, vipo juu ya kilima. Malipo ndani ya miezi 3. Price: 15,000/= kwa SQM 1 Kindly share.

📍 Viwanja vinauzwa Ntyuka – Dodoma
Km 7 kutoka Dodoma Mjini. Vimepimwa kwa makazi na biashara, eneo limejengeka sana (maarufu kama Ntyuka Maghorofani). Neighbourhood ya nyumba za kisasa, vipo juu ya kilima. Malipo ndani ya miezi 3.
Price: 15,000/= kwa SQM 1
Kindly share.