
School of Public Health KCMC University
@iphkcmuco
Centre for excellence in Public health. Improving lives and wellbeing in communities through teaching and research.
ID: 1353709371444908035
https://iph.kcmuco.ac.tz/ 25-01-2021 14:22:15
252 Tweet
1,1K Followers
58 Following




Sepetember ni mwezi wa elimu juu ya kansa za watoto na kabla haujaisha, karibu kusikiliza Doctor Rafiki Africa safari ya Kelvin akielezea alipogundulika na kansa (miaka 10) akapata matibabu na kupona. Link; youtu.be/u_ATkYcqByk?si… AU open.spotify.com/episode/5lZQYH… #Childhoodcancersurvivor



Few hour later I’ll join @Dr_kigombeye on a session prepared by TAMSA MUHAS to talk through #BreastCancer. 1900hrs Link; meet.google.com/big-hgkh-kjw Looking forward to engage with you! #PinkOctober



Tomorrow as part of an ongoing collaboration, Prof. Sia Msuya from our institute will give a lecture at the School of Public Health in Tsinghua University on Adolescent Sexual and Reproductive health in Tanzania highlighting risks, opportunities and resilience. #GlobalHealth



Ugonjwa wa kansa unakuja na changamoto nyingi kwanzia udhaifu wa mwili, mabadiliko ya kimaumbile, gharama kubwa za matibabu na mengine mengi. Karibu katika episode hii ya Doctor Rafiki Africa tuzungumze zaidi. Spotify; open.spotify.com/episode/4fC9OM… YouTube: youtu.be/14L7R8nZUmw?si…



Ziko sababu mbalimbali zinazoweza kupelekea mama kujifungua kabla ya wakati, yaan mtoto njiti. Ili kuzijua zaidi karibu usikilize podcast ya Doctor Rafiki Africa wiki hii tukijadili swala zima la mtoto njiti. Link; youtu.be/pQABsN1xiw8?si… #Doctorrafiki #Prematurebaby




Leo ni siku ya Neglected Tropical Diseases (NTDs) duniani, kiswahili yakiitwa Magonjwa ya kitropiki yasiyopewa kipaumbele. Katika episode hii ya Doctor Rafiki Africa podcast utajua ni magonjwa gani hayo na yanaweza kuathiri vipi afya ya mama na mtoto. Bonyeza: open.spotify.com/episode/6JDGtV…


Sikiliza episode mpya kutoka #doctorrafikiafrica kupitia #YouTube. Bonyeza link hii kusikiliza: youtu.be/HISkh64Q2EE?si… #health #HealthForAll #doctorrafikiafrica Julieth Sebba Bilakwate, MD



Hi Rafiki! Hope you do not miss this episode in Doctor Rafiki Africa podcast as I embark with one of the best dermatologist Dr. salva nicas in discussing myths and misconceptions around eczema. Click the link to listen; youtu.be/YD1lnWcYaAY OR open.spotify.com/episode/08aqc8…



Have you listened to this week’s episode in Doctor Rafiki Africa podcast? 😀 Whether you’re thinking of starting a skin care routine or you’ve been on one but wish to improve your results, this episode is for you! Listen through; youtu.be/RIfGrbiuhqQ or open.spotify.com/episode/2fD8Vo…
