Innocent P. M. Mungy🇹🇿 (@imungy) 's Twitter Profile
Innocent P. M. Mungy🇹🇿

@imungy

Head Of Government Communications Unit, Ministry of Information, Communication and Information Technology, United Republic of Tanzania.

ID: 25952460

linkhttp://www.mawasiliano.go.tz calendar_today23-03-2009 04:25:45

10,10K Tweet

24,24K Followers

4,4K Following

Innocent P. M. Mungy🇹🇿 (@imungy) 's Twitter Profile Photo

Endelea kupumzika kwa amani Mama Mangowi! Familia nzima ya Kifang’a na wengine inakukumbuka kwa maisha yako Duniani. Watoto wako wanamshukuru Mungu kwa upendo wako. RIP Msheku!

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro pamoja na Tume ya Rais ya Kutathmini zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi wa eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Ikulu Jijini Dar es Salaam,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kuzindua Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro pamoja na Tume ya Rais ya Kutathmini zoezi la

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuturisha Watoto Yatima na Watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 3 Machi, 2025

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Machi, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Machi, 2025.
Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

SIKILIZA NONDO ZA KITAALAMU. Huyu hapa ni Mhandisi Felchesimi Mramba, Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na mtaalamu mbobevu katika masuala ya umeme.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuungane pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuibariki nchi yetu, tudumu katika umoja, amani na

Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tuungane pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuibariki nchi yetu, tudumu katika umoja, amani na
Innocent P. M. Mungy🇹🇿 (@imungy) 's Twitter Profile Photo

Tufuatilie Mbashara kupitia #Mambomambo ya @radiofreeafrica Ni Alhamisi ya Machi 20, 2025 kuanzia saa 10:00 mpaka saa 12:00 Jioni. Usikose tafadhali #lindataarifabinafsitz #faraghayakoniwajibuwetu #pdpctz #pdpcznz

Tufuatilie Mbashara kupitia #Mambomambo ya @radiofreeafrica Ni Alhamisi ya Machi 20, 2025 kuanzia saa 10:00 mpaka saa 12:00 Jioni. Usikose tafadhali

#lindataarifabinafsitz
#faraghayakoniwajibuwetu
#pdpctz
#pdpcznz
Msemaji Mkuu wa Serikali (@tzmsemajimkuu) 's Twitter Profile Photo

Jukwaa la 14 la Utawala wa Mtandao Afrika (AfIGF 2025) litafanyika kuanzia tarehe 29 hadi 31 Mei 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. igf.africa | mawasiliano.go.tz #AfIGF2025 #AfricaIGF

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

#IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii