Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile
Master Mind

@imstanleee

High - Value Content Delivered by Me.
Turn Your Self-taught Skill into Profit 📈
Coding Is my Life not A Choice 💻.
Make boring stuffs to work automatic

ID: 1199211800903983106

calendar_today26-11-2019 06:22:43

4,4K Tweet

3,3K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile Photo

Ninayo furaha kuwa developer (Web based dev) Na bado nazidi kujinoa, na kujionoa. Kamwe AI haiwezi nitoa mchezoni hadi badae sana huko. Endelea kujifunza popote pale ulipo, usiache kwa kuanza na basic au misingi yote ya lazima katika kujifunza teknolojia tofauti tofauti.

Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile Photo

Kuna level flani ya maisha ukifika, swala la kujifunza kwako litakuwa halina EXCUSE. Automatically UBONGO unataka kupata vitu vipya, aidha kwenye kuinua TAALUMA yako au kuongeza UJUZI mpya. Ukifika level hii ya maisha, DO IT kuna namna utakuja kujipongeza.

Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile Photo

SELF-TAUGHT sio rahisi kama wengi wanavyofikiria! Especially kwenye maswala ya development (Coding). Mtu anaweza ona rahisi pindi mtu anaposimulia na kuona akifanya projects kubwa akadhani ni simple! Bila NIDHAMU,KUJITOA,MUENDLEZO NA UVUMILIVU. Ndani ya wiki 2 unaaga RACE.

Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile Photo

Uko na laptop, uko na access ya internet hata kama ni 1GB per hour or per week, na mwisho uko na muda na akili timamu. Kipi kinakuzuia kujifunza Web development, Marketing, Graphics nakadhalika. Do it.. again.

Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile Photo

Are you Struggling with CONSISTENCY!? Ni moja ya kipindi kigumu sana ambapo wengi wanao jifunza CODING huwa wanashidwa kuWIN. Don't worry, hauko peke yako, hata unao waona leo level za juu wakati wanaanza walikuwa kwenye hiyo hali. Namna gani uwe na CONSISTENCY imara? NIDHAMU

Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile Photo

Before hujaingia kwenye ulimwengu wa Software development as a SELF-TAUGHT. 1. Tambua CODING ni sehemu ndogo na ya mwisho katika Software Development, jifunze kila kitu. 2. Jijue upo upande gani FrontEnd au BackEnd, ili ikupe urahisi wa nini unakipambania, na kujiposition.

Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile Photo

Junior Devs ambao ni SELF-TAUGHT, jaribuni kulink up na tech communities mbali mbali mpate exposure. Msijifungie ndani, unaweza kujiona unajua kwa unachokifanya, kumbe huko duniani wewe ni hujui kitu. Tafuta UZOEFU kwenye majukwaa ya TECH huko duniani.

Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile Photo

Keep learning.... kuna wakati unachoka, ila jikaze tumia hata dakika 30 kuingiza kitu. Zoesha akili kujifunza katika mazingira yote, jenga tabia ya kujifunza pasipo kujali hali ya wakati huo. Vyote hivyo hutengeneza kitu kinaitwa NIDHAMU

Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile Photo

Kwanini simalizi nilichokianzisha? Kwanini ndani ya miezi 6 ya kujifunza CODING ila bado narudi pale pale? Yes hii ni hatua ambayo hata wewe unayesoma huwenda unapitia ushapitia na mwishoe ukapoteza FOCUS Wengi mnajifunza kwa MOTIVATION, unataka kuwa Dev sababu umesikia inalipa

Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile Photo

1 X A DAY, 1 STEP A DAY, 1 WIN Hii ni formula simple but is not easy, kama unajifunza software development, web development. Hakiki kila siku unaingiza kitu, hakikisha ulivyo jana sivyo ulivyo leo, hakikisha umegain kitu Don't chase perfection unapokuwa unajifunza wewe vs wewe

Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile Photo

Goodmorning. Kama unataka kuwa SELF-TAUGHT developer ambaye unaaminika na kuuza UJUZI wako, Usiwe mtu unayeishi kwa WISHING bali jitahidi kuwa mtu wa kuchukua hatua. Put things into work, and always your ACTION is the only way can take you to DISCIPLINE. Usiwe mtu wa kusema.

Master Mind (@imstanleee) 's Twitter Profile Photo

Kama una moyo mwepesi na mtu mwenye tamaa achana na maswala ya kujifunza CODING. Huku bila CONSISTENCY hutoboi lazima utaishia njiani tu, utaona mambo ni TIGHT. Huku bila utulivu wa mwili na akili unaweza ona unapoteza muda. HUKU KUNATAKA TOUGH.

Mrconsulnet (@mrconsulnet_) 's Twitter Profile Photo

Wazo langu lilikuja kiutani utani Hasa kupitia kusikia wengi wakiponda na kusoma vibaya Nguvu za asili Basi Kupitia mimi kufanya na kutumia Nguvu za asili ndio nikaja na wazo la kuandika hii ebook Kutoka maoni yangu,mitazamo yangu Na kama kweli vile kupitia hii ebook

Wazo langu lilikuja kiutani utani

Hasa kupitia kusikia wengi wakiponda na kusoma vibaya Nguvu za asili

Basi 

Kupitia mimi kufanya na kutumia Nguvu za asili ndio nikaja na wazo la kuandika hii ebook 

Kutoka maoni yangu,mitazamo yangu 

Na kama kweli vile kupitia hii ebook