Rais Samia amejenga Barabara mpya za lami 4,700km
tofauti na 9,800km alizozikuta ikiwa ni jitihada kubwa za serikali ya awamu ya Sita( 6) katika kuongeza na kuboresha miundombinu ya barabara nchini
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya kilometa za
Dkt.Samia Suluhu Hassan ameendelea kuweka historia kubwa katika Nchi yetu ya Tanzania.
Kwa upande wa kanda ya ziwa ameweka alama kubwa ambayo vizazi na vizazi vitaendelea kumkumbuka kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa Daraja la Kigongo-Busisi (Magufuli bridge)
BBT: Mama Samia Anajenga Kesho Njema Kupitia Vijana na Kilimo
Katika kulijenga taifa lenye msingi imara wa kiuchumi, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Mpango wa Building a Better Tomorrow (BBT) program ya kitaifa inayolenga kuwainua vijana kupitia kilimo chenye tija,
MAMA SAMIA ANAJENGA NCHI 📌
Mradi wa Barabara ya Kimataifa ya Bagamoyo-Tanga-Horohoro
Mradi wa Barabara ya Kimataifa ya Bagamoyo-Tanga-Horohoro unatekelezwa chini ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa usimamizi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. Mradi huu ni sehemu ya
MADARAJA MAKUBWA YALIYOKAMILIKA KATIKA KIPINDI CHA UONGOZI WA DKT.SAMIA SULUHU HASSAN
Tangu kuingia madarakani mnamo Machi 2021, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka msisitizo mkubwa katika kuboresha miundombinu ya usafiri nchini Tanzania. Katika kipindi cha miaka minne,
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atashiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa hivyo basi usikose kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia televisheni na mitandao rasmi ya kijamii.
#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yamepata heshima ya juu kwa uwepo wa Rais. Hii ni ishara ya taifa lenye mizizi ya uzalendo.
Mama Samia anatuonesha kuwa kuenzi mashujaa si kazi ya kihistoria pekee, bali ni hatua ya sasa ya kulinda kile walichokipigania.
Fuatilia moja kwa moja
🇹🇿 Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
🎖️ Kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa
🗓️ 25 Julai 2025
🕔 Saa 5 Asubuhi
📍 Mtumba – Dodoma
📺 Tazama mubashara kupitia TV na mitandao ya kijamii.
#kaziNaUtu
#TunasongaMbele