HADES πŸ”° (@im_almas1) 's Twitter Profile
HADES πŸ”°

@im_almas1

END is not end in fact, E.N.D is Effort Never Dies. NO is not denial, NO is Next Opportunity. So Always Be POSITIVE.

ID: 3060488364

calendar_today03-03-2015 22:18:34

79,79K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Msouth small trader Herb’s (@msouthherbs) 's Twitter Profile Photo

pana kitu sasa mpka kwenda kuangalia tayari walishachelewa Mtu wa pili yeye alikuwa tingo baada ya kufanya tripu nyingi alikuwa amechoka hivyo akataka kupumzika wakati wapo kwenye foleni ya kupakia kifusi yeye akaenda kulala ndani ya tipa la mchanga kwenye hilo gari lake foleni

Msouth small trader Herb’s (@msouthherbs) 's Twitter Profile Photo

ilivyowafikia dereva akabakia kifusi uku yule tingo akiwa ndani ya tipa baada ya kumtafuta sana ndio wakasema alionekana akipanda huku juu ya tipa ile kumwaga kifusi mtu tayari ameshafariki Nadhani nimeeleweka vizuri Twamuomba Allaah salama na afya Ktk upambanani wetu

HADES πŸ”° (@im_almas1) 's Twitter Profile Photo

Sema tuacheni masihara roho inaniuma hatari yani hapa bila Fanta orange leo hakuna kitu inafanyika 😀😀😀😀

Askofu Emmaus B Mwamakula (@emmausaskofu) 's Twitter Profile Photo

Ninamjua Lissu kuwa ni mtu wa misimamo ya haki. Angekuwa mtu wa kufikia bei nisingehatarisha maisha yangu kumtetea! Kama Askofu aliyekuwa karibu naye wakati wa Uchaguzi wa 2020 na mtu aliyeshuhudia kukamatwa kwake Mbinga nina ujasiri wa kusema Lissu hajatetereka na hatafakia bei!