iHumphreys
@ihumphreyz
Believer | Mwalimu | Life Long Learner
ID: 2897439280
29-11-2014 13:52:11
193,193K Tweet
63,63K Takipçi
1,1K Takip Edilen
Kila Oktoba 11, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike. Mwaka 2025, Tanzania yazindua #AjendaYaMsichana2025 ikilenga kumweka msichana katikati ya maendeleo ya taifa kuelekea #Tanzania2050. Ni wakati wa kusikiliza sauti ya msichana. Msichana Initiative
Takribani watoto milioni 3.2 wa miaka 7–17 hawapo shuleni. Wengi wao ni wasichana. Ndoa za utotoni na mimba za mapema bado ni kikwazo kikubwa. Ni wakati wa kuchukua hatua thabiti kwa maendeleo endelevu. #AjendaYaMsichana2025 Msichana Initiative
Asilimia 90 ya ajira duniani zinahitaji ujuzi wa kidijitali, lakini wanawake ni 35% tu ya wahitimu wa STEM. Tukibadilisha hii leo, tunaandaa kizazi cha wanawake wabunifu kesho. #AjendaYaMsichana2025 Msichana Initiative
Ajenda ya Msichana 2025 inalenga kuziba pengo la kidijitali, kiuchumi na kielimu. Kaulimbiu mpya: “Wasichana na Ujuzi kuelekea Dira 2050.” Ujuzi ni silaha na nyenzo ya kujikwamua kijamii na kiuchumi. #AjendaYaMsichana2025 Msichana Initiative
Wasichana 250 kutoka mikoa yote wanakutana Dar es Salaam kutoa tamko lao mbele ya viongozi, serikali na wadau. Watadai haki, nafasi na mustakabali wao. Jiunge nasi kusikiliza sauti ya mabadiliko. #AjendaYaMsichana2025 #Tanzania2050 Msichana Initiative
Kuanzia Septemba 12 hadi Oktoba 5, zaidi ya wasichana 250 watashiriki matukio (satellite events) nchi nzima, kuelekea kilele cha Ajenda ya Msichana 2025 jijini Dar es Salaam. Safari ya mabadiliko inaanzana ni endelevu #AjendaYaMsichana2025 Msichana Initiative
Ukigundua madini kwenye ardhi unayomiliki, kisheria madini hayo ni mali ya serikali Lakini swali linabaki, je, mwenye ardhi ana utaratibu wa kunufaika, hata kama hataki kushiriki uchimbaji? #HojaYakoMezani HakiRasilimali
Unatafuta ardhi bora, salama na halali? Karibu Survland Land Brokerage Tunakuwezesha kununua, kuuza, kupima na kupata ushauri sahihi wa uwekezaji wa ardhi kwa uhalali na usalama 💼 📍Dodoma | ☎️ +255 761 505 726 | IG: @surv_land SURVEYOR ANDERSON