Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile
Idris

@idrissultan

“Sijui kitu” 🎬📺🍿🌱

ID: 311028305

linkhttps://linktr.ee/Idrissultans calendar_today04-06-2011 19:32:57

89,89K Tweet

1,6M Followers

642 Following

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa na wambea wanaolipwa 😂😂😂 Haya sasaaaa 23rd May 2025 Mlimani city 🎥🎞️ #TanzaniaYaSamia #Tanzania100100

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Wanaozivaa changamoto ndio wanaofanikiwa zaidi ya wanaozikimbia. Unakataa kupanda na tofali juu ya gorofa sababu linachosha ila unalalamika jengo halikamiliki. Tafuta miujiza.

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu kwao kuoga sio kitu muhimu kivile, yani wao kuoga wanaona kama inawakataa. Mara moja kwa wiki flani hivi inatosha.

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi sana wanaogopa kubaki wao na akili zao tuu kwenye chumba kimoja. Yani kuwaza, kufikiria na hata kukaa tuu relaxed wakiangalia mazingira wanaona kama wanapata presha wanaweza kata moto. Kwahiyo kukiwa na ukimya wa sekunde kadhaa mtu lazima ainue simu. Na wengine ni

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Sehemu inayochanganya sana wasomi kwenye suala la dini ni jinsi Mungu anasistizia kujielimisha na kupata uwezo mkubwa sana wa kutumia akili yako kisha anakuambia umfuate bila kutumia uwezo wa akili yako binafsi sababu yeye amepanga yote na anajua yote ila unaweza kusali na

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Utotoni nilikuwa nikisikia watu wanaongelea “Kimada” mimi nadhani wanaongelea “Mada” flani ndogo. Kimada kidogo cha kujadili.

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Imani ❗️ Kuna jinsi Mungu anafanya kazi yake na ni ngumu sana yeye kuelezeka kwanini amefanya maamuzi aliyofanya. Yani anaweza tu akawa ameona tunatupa tupa taka hovyo, akamchagua mtu awe anatembea barabarani anaokota makopo na sisi tukamuita kichaa kwa kuchaguliwa kuwa na kazi

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Wafanyabiashara ambao hawapo sabasaba kuonyesha walichonacho wangetembelea za wengine viwanjani, unaweza kuta solution ya biashara yako ipo kwenye biashara ya mwingine. Ndo tunaita sijui B2B (business to business) model I think.