iddy nonga (@iddynonga_) 's Twitter Profile
iddy nonga

@iddynonga_

Sports presenter || producer || writer || Gossip master || content creator || social media manager || Welcome

ID: 3303463907

calendar_today30-05-2015 05:56:17

8,8K Tweet

26,26K Followers

1,1K Following

iddy nonga (@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

✨Kocha wa zamani wa Taifa stars,Azam FC,Mbao na KMC,Ettiene Ndayiragije amefanikiwa kubeba/ kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya Kenya akiwa na kikosi cha Polisi Kenya FC !,JAMAA HUWA HAOGOPI KUANZA UPYA,ATARUDI TENA TANZANIA HUYU !.

✨Huu mfumo wa Real Madrid wa kusajili wachezaji huru umeanza kuwa tishio,kwa miaka timu zetu kongwe zimekuwa zikitumia mfumo huu,Madrid wameona nao wapite nao !.

iddy nonga (@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

✨Kimazingira unawaona kabisa Simba wakicheza "mind game" kuelekea hii dabi,wapo kimya ila watacheza,kilichopo ni kutafuta timing nzuri ya kuwajulisha watu wake,Simba wanajua hii mechi ni fainali kwao kama wakishinda basi UBINGWA ni wao!

iddy nonga (@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

✨Wale mashabiki wa Simba wanaosema kuwa wamebakisha mechi mbili za ligi kuu wanajua kuwa wanatingisha meza yenye vinywjai GHALI?,wanajua hawawezi kulipia?!!......

iddy nonga (@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

✨Nyota wa zamani wa Yanga,Fiston Abdoul Razak ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Burundi akiwa na umri wa miaka 33,Fiston alicheza mechi 13 akiwa Yanga na kufunga mabao matatu kwenye ligi kuu mwaka 2021 !!..

✨Toka mwanzo naamini Simba wangeibuka na taarifa kwa UMMA kuhusu dabi,hili ombe la mashabiki kuanza kusema wana mechi mbili tu na kama wanaikataa dabi hivi lisinge kuwep,Simba mje na taarifa kwa Umma itasaidia hizi kampeni zinazoanza taratibu za mashabiki zenu !!.

iddy nonga (@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

✨Kwa mujibu wa Hans Raphael,PCCB kwa nyakati tofauti wamewaita viongozi wa Yanga na TFF,kubwa zaidi ni lile sakata la fedha,[ PCCB ni TAKUKURU] !!.

iddy nonga (@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

✨ZA HIVI PUNDE! Wachezaji wa Ken gold sasa wamekubali kucheza mechi,sharti lilikuwa ni kupewa viingilio vya mchezo wa leo dhidi ya Simba!,mechi ipo, ila sasa wanaweza wakala nyingi hawa 😀

iddy nonga (@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

✨Al Ahly ndio watakutana na timu zetu kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika,hii quality yao na unaona wanavyonyanyaswa,aiseee !! .....

iddy nonga (@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

✨Kamwe anasema kwa sasa Yanga (timu) ndio kila kitu na baada ya hapo ndio wanaangalia mtu mmoja mmoja (individual awards),amesema kwa sasa Mabingwa mara nyingi wanafikiria zaidi ubingwa, hizi sio taarifa nzuri kwa upande wa pili,Aiseeee 😀!!...

✨Kanuni na taratibu za TFF hasa za uchaguzi huwa zinaamuliwa kwa njia zake,sasa kuwa katika mchakato wa hivi sasa wa uchaguzi then wanatokea au kutokea mgombea na kusema vitu mliojiwekea wenyewe haviko sawa INASHANGAZA sana,aubirini njia sahihi kutoa maoni,mmeshikwa PABAYA!...