Mnyalukolo๐Ÿ’ฅ (@iddhassan8) 's Twitter Profile
Mnyalukolo๐Ÿ’ฅ

@iddhassan8

Ambassador of God๐Ÿ’ช/Always honouring God no matter what!!/#Sabbath keepers โœ๏ธ

ID: 1257650406659891202

linkhttp://www.hans.com calendar_today05-05-2020 12:37:42

1,1K Tweet

2,2K Followers

3,3K Following

๐†๐ข๐๐ข๐จ๐ง ๐Œ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ฅ๐š๐ฌ๐ฒ๐š (@mtumwawayesu) 's Twitter Profile Photo

๐‰๐„ ๐–๐€๐‰๐”๐€โ“ Katika historia makini watu wasioijua, siku kama ya leo, zaidi ya miaka 2000 iliyopita, Maria mama wa Yesu alipumzika siku ya Sabato kwa huzuni akisahau kuwa ukombozi wa ulimwengu ulikuwa umekamilika. Nawatakia Sabato njema yenye ushindi na furaha ya ukombozi

๐‰๐„ ๐–๐€๐‰๐”๐€โ“
Katika historia makini watu wasioijua, siku kama ya leo, zaidi ya miaka 2000 iliyopita, Maria mama wa Yesu alipumzika siku ya Sabato kwa huzuni akisahau kuwa ukombozi wa ulimwengu ulikuwa umekamilika.

Nawatakia Sabato njema yenye ushindi na furaha ya ukombozi
Mnyalukolo๐Ÿ’ฅ (@iddhassan8) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธHappy Sabbath ๐ŸŒŽ๐ŸŒŽ๐ŸŒŽ๐ŸŒŽ ๐Ÿ—ฃ๏ธAttend Sabbath school early๐ŸŒŽ

๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธHappy Sabbath ๐ŸŒŽ๐ŸŒŽ๐ŸŒŽ๐ŸŒŽ
๐Ÿ—ฃ๏ธAttend Sabbath school early๐ŸŒŽ
Mnyalukolo๐Ÿ’ฅ (@iddhassan8) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ—ฃ๏ธDAR NET EVENT ๐Ÿ’ช ๐Ÿ—ฃ๏ธDAR NET EVENT ๐Ÿ’ช Hope Channel Tanzania naomba kupata namba za kutuma taarifa za kituoni kwangu ziwafikie hapo @Magomenisdaโœ๏ธ

๐†๐ข๐๐ข๐จ๐ง ๐Œ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ฅ๐š๐ฌ๐ฒ๐š (@mtumwawayesu) 's Twitter Profile Photo

Happy Sabbath ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Sabato njema ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Thabato yedi ISabati nunu Sabato Nziza, muvandi wanjye ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ Sabato Njega ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Sabato nziza ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ

Happy Sabbath ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Sabato njema ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Thabato yedi
ISabati nunu
Sabato Nziza, muvandi wanjye ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ
Sabato Njega ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
Sabato nziza ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ
๐†๐ข๐๐ข๐จ๐ง ๐Œ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ฅ๐š๐ฌ๐ฒ๐š (@mtumwawayesu) 's Twitter Profile Photo

๐Œ๐š๐ซ๐ข๐š ๐Œ๐š๐ฆ๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐˜๐ž๐ฌ๐ฎ ๐š๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ง๐ข ๐Œ๐ฌ๐š๐›๐š๐ญ๐จ ๐‡๐š๐ฅ๐ฅ๐ž๐ฅ๐ฎ๐ฃ๐š๐กโ— "Na wale wanawake waliokuja naye toka Galilaya walifuata, wakaliona kaburi, na jinsi mwili wake ulivyowekwa ......Na siku ya sabato walistarehe kama ilivyoamriwa." Luk 23:55-56

๐Œ๐š๐ซ๐ข๐š ๐Œ๐š๐ฆ๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐˜๐ž๐ฌ๐ฎ ๐š๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ง๐ข ๐Œ๐ฌ๐š๐›๐š๐ญ๐จ ๐‡๐š๐ฅ๐ฅ๐ž๐ฅ๐ฎ๐ฃ๐š๐กโ—
"Na wale wanawake waliokuja naye toka Galilaya walifuata, wakaliona kaburi, na jinsi mwili wake ulivyowekwa ......Na siku ya sabato walistarehe kama ilivyoamriwa." Luk 23:55-56
Eagle's Eye (@eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Hello Dearsโ™ฅ๏ธ UHAI ulio nao Afya njema Mwonekano Vitu ulivyo navyo visikudanganye kuwa humwitaji Mungu kwenye maisha yako wala hakuna ulazima wa wewe kufanya ibada maisha yetu ni kama jani la mti muda wowote hudondoka na kunyauka TUSIACHE KUFANYA IBADA NDUGU ZANGU๐Ÿ™โ™ฅ๏ธ

Hello Dears โ™ฅ๏ธ Tumshukuru Mungu kwa week nyingine tena ๐Ÿ™ Imani yetu ni ile ile kufeli kwa jana sio kikwazo cha sisi kufaulu leo tunachojua ni kwamba kama kuna kukosa kupata pia kupo tutajipambania mpaka pumzi yetu ya mwisho KAZA MWANANGU NA MUNGU AKULINDE ๐Ÿ™โ™ฅ๏ธ

Ted Wilson (@pastortedwilson) 's Twitter Profile Photo

"Now the Lord spoke to Paulโ€ฆโ€˜Do not be afraid, but speak, and do not keep silent; for I am with you, and no one will attack you to hurt you; for I have many people in this cityโ€™" (Acts 18:9,10, NKJV).