kobiko (@iammwanjala) 's Twitter Profile
kobiko

@iammwanjala

Everything we hear is an opinion, not a fact. Everything we see is a perspective not the truth. ~ Aurelius. Visit Mbeya Tanzania 🇹🇿

ID: 1197377297432694784

linkhttps://www.instagram.com/invites/contact/?i=15f0ly0znhjms&utm_content=3402hvd calendar_today21-11-2019 04:53:00

67,67K Tweet

50,50K Takipçi

658 Takip Edilen

Emmanuel chacha Christopher (@immamtanganyika) 's Twitter Profile Photo

Kitendo Cha Jeshi la polisi kuvamia kanisa linaloongozwa na Askofu Gwajima na kutawanya Mbwa kanisani ili wafukuze watu,Kupiga mabomu kanisani,na vitendo vingine vya kinyama vilivyofanywa usiku wa Leo Ni vya kupingwa na Kila mtu mwenye akili Timamu,Ni uvamizi dhidi ya wakristo.

Malcolm 🏆 (@mlinganya) 's Twitter Profile Photo

Gwajima anaface kile ambacho kila mmoja angekipata. Kupingana na system hata kama unasema ukweli, tupo nae shujaa Gwajima. Mwisho kabisa huku kote tumefika sababu ya "rais wa wanyonge"

M A G I R I (@kiganyi_) 's Twitter Profile Photo

Jumapili nimeona kupitia TikTok live tofauti tofauti makanisa zaidi ya 3 ya kiprotestanti wanazungumzia mambo aliyozungumzia Gwajima. Nafahamu watu wa usalama wanaelewa demografia ya watu wanaosali kwenye hayo makanisa na hulka zao zilivyo tofauti. Endeleeni kutumia nguvu tuu,

Dr. Mishy🇲🇫 (@sharonmontana20) 's Twitter Profile Photo

Silencing a church for voicing truths is not governance,it’s authoritarianism cloaked in bureaucracy,..When truth becomes a threat, democracy is already on life support, Tanzania deserves better than this orchestrated erosion of freedoms😏

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Hata wafuasi wa CCM, hawapo salama. Wafuasi wa CCM ambao pia ni waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima linaongozwa na Askofu Josephat Gwajima wamewekwa njia panda. Wanatakiwa kuchagua kusimama na kanisa lao au waendelee kutukuza Serikali ya chama iliyofuta na kuvamia kanisa lao.

Polisi wamezingira kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubongo. Wameweka na utepe wa rangi ya njano. Wameagizwa kuzuia shughuli zote za kanisa hilo ikiwepo ibada na maombi. Tangu jana usiku, hawajafanikiwa kumpata Askofu Josephat Gwajima. Lakini wamewakamata waumini wengi wa kanisa hilo.

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, kupitia Ukurasa wake wa Facebook amesema hakuna Kanisa linalotuma Mtu kuchochea, kutukana, kubaka, kuiba nk. na kama lipo, zipatikane kumbukumbu za kikao kilichoruhusu hayo

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hatutambui chochote kinachoitwa “GLORY OF CHRIST CHURCH”; wateja wangu wanajulikana kisheria kama THE GLORY OF CHRIST TANZANIA CHURCH. Hivyo basi, karatasi yoyote inayosambazwa kwa jina hilo la awali ni suala linalomuhusu aliyedai kuiandika. Wakili msomi SANA PETER KIBATALA.

Hatutambui chochote kinachoitwa “GLORY OF CHRIST CHURCH”; wateja wangu wanajulikana kisheria kama THE GLORY OF CHRIST TANZANIA CHURCH. 

Hivyo basi, karatasi yoyote inayosambazwa kwa jina hilo la awali ni suala linalomuhusu aliyedai kuiandika.

Wakili msomi SANA PETER KIBATALA.
Mchokozi !! (@olemtetezi) 's Twitter Profile Photo

Hawa Walijua Wao Ndio Waliokua Wanapendwa Na Kushangiliwa, Hawakujua Kwamba Ni Kwasababu Walikua CHADEMA Sasa Wamehamia CHAUMMA Wameenda Mwanza Wameishia Kujihutubia Wao Wenyewe, Hawaamini Macho Yao 😂😂

kobiko (@iammwanjala) 's Twitter Profile Photo

Walizunguka Kanisa Na Bado Jamaa Akatoka fresh tu. “ Yaleyale ya kuzunguka nyumba ya Mbowe 24 hours na bado akaibukia point ya mandamano” CIA Ya Kenya 😁

kobiko (@iammwanjala) 's Twitter Profile Photo

Naona dg Janja kaanza usumbufu, Toka aende five akirudi likizo status ni post za mabint tu. O level hakuwa hivi….anafwata nyayo😁

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Unashindwaje kuendesha mradi wa mwendokasi? Unawapa waarabu hadi kazi ya kukata tiketi? Barabara ni zako na sheria inakulinda hakuna kuingiliwa na yeyote. Abiria wamejaa vituoni wanasubiri. Umepewa karakana. Huwezi kununua mabasi mapya na kuyaendesha? Unaweza kufanya nini sasa?