FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile
FELIX JASON

@iamfelixtz

||
Transfer Expert ||
Njombe Finest 🔥 🇹🇿

ID: 1499757458994216960

calendar_today04-03-2022 14:43:52

4,4K Tweet

26,26K Takipçi

275 Takip Edilen

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Updates 👇 ➡️ Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa miezi 4 tangu alipofanyiwa upasuaji wa bega la kulia, Peter Banda (24) 🇲🇼 ameanza mazoezi mepesi ➡️ Kwa miaka mingi, Banda alikuwa akicheza na tatizo lake la bega hadi mwaka huu Nyassa Big Bullets walipoamua kusimamia matibabu yake

Updates 👇

➡️ Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa miezi 4 tangu alipofanyiwa upasuaji wa bega la kulia, Peter Banda (24) 🇲🇼 ameanza mazoezi mepesi

➡️ Kwa miaka mingi, Banda alikuwa akicheza na tatizo lake la bega hadi mwaka huu Nyassa Big Bullets walipoamua kusimamia matibabu yake
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Updates 👇 ➡️ Kiungo wa Yanga 🇹🇿 Khalid Aucho na Striker wa Simba 🇹🇿 Steven Mukwala ni sehemu ya wachezaji wanawania tuzo ya Fan's Ugandan Foreign - Based Player of the Year zitakazofanyika Kampala Serena Hotel May 30 ✅ Tuzo zipo chini ya Shirikisho la soka la Uganda 🇺🇬 (FUFA)

Updates 👇

➡️ Kiungo wa Yanga 🇹🇿 Khalid Aucho na Striker wa Simba 🇹🇿 Steven Mukwala ni sehemu ya wachezaji wanawania tuzo ya Fan's Ugandan Foreign - Based Player of the Year zitakazofanyika Kampala Serena Hotel May 30

✅ Tuzo zipo chini ya Shirikisho la soka la Uganda 🇺🇬 (FUFA)
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

FULL TIME ⏰ Yanga Sc 2️⃣ ➖ 3️⃣ Singida BS ⚽ Elvis Rupia ⚽️ Jonathan Sowah ⚽️ Arthur Bada ⚽️ Prince Dube ⚽️ Denis Nkane #FriendlyMatch 🏟️ KMC Complex

FULL TIME ⏰

Yanga Sc 2️⃣ ➖ 3️⃣ Singida BS

⚽ Elvis Rupia
⚽️ Jonathan Sowah
⚽️ Arthur Bada 
⚽️ Prince Dube
⚽️ Denis Nkane

#FriendlyMatch 
🏟️ KMC Complex
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Kikosi cha RS Berkane 🇲🇦 kimeshatua Zanzibar kwaajili ya mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya wenyeji wao Simba Sc 🇹🇿 itakayochezwa Jumapili hii Mei 25 katika uwanja wa Amaan. #TotalEnergiesCAFCC

Kikosi cha RS Berkane 🇲🇦 kimeshatua Zanzibar kwaajili ya mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya wenyeji wao Simba Sc 🇹🇿 itakayochezwa Jumapili hii Mei 25 katika uwanja wa Amaan.

#TotalEnergiesCAFCC
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

RS Berkane 🇲🇦 wamekataa gari zilizoletwa na Simba Sc 🇹🇿 kwaajili ya kuwapokea Airport. ✅ Berkane wametafutiwa gari nyingine za kuwapokea. #TotalEnergiesCAFCC

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Updates 👇 ➡️ Hadi kufika muda huu saa 6 usiku, Berkane 🇲🇦 bado hawajatoka ndani ya uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. ➡️ Berkane walitua tangu saa 3 usiku.

Updates 👇

➡️ Hadi kufika muda huu saa 6 usiku, Berkane 🇲🇦 bado hawajatoka ndani ya uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.

➡️ Berkane walitua tangu saa 3 usiku.
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kukaa ndani ya Abeid Aman Karume International Airport wakishughulikia taratibu za kuingia Zanzibar, hatimae Berkane wametoka na wameelekea Hotelini Jumapili watakuwa na kibarua cha kuikabili Simba Sc kwenye mechi ya Fainali ya Kombe la shirikisho barani Afrika

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Updates 👇 Hivi ndivyo RS Berkane walivyowasili katika viwanja vya mazoezi vya Amaan ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Fainali ya Kombe la shirikisho barani Afrika Jumapili hii dhidi ya Simba Sc #TotalEnergiesCAFCC

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

“Kisaikolojia tulikuwa tunajua kuwa kwa Tanzania ukicheza kwa Mkapa unapoteza na tunafahamu hilo, lakini tumefurahi kwasababu hatuchezi kwa mkapa” 🗣️ Mamadou Camara 🇬🇳 - Kiungo wa Berkane 🇲🇦

“Kisaikolojia tulikuwa tunajua  kuwa kwa Tanzania ukicheza  kwa Mkapa unapoteza  na tunafahamu hilo, lakini tumefurahi kwasababu hatuchezi kwa mkapa”

🗣️ Mamadou Camara 🇬🇳 - Kiungo wa Berkane 🇲🇦
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

"Kucheza ugenini bila idadi kubwa ya mashabiki kwetu sio jambo geni, tumeshacheza mechi nyingi za aina hii Mambo yaliyotokea Airport wakati tunawasili sitaki kuyaongelea, tunatakiwa tuwe makini na mechi iiyopo mbele yetu. 🗣️ Mouin Chaabani 🇹🇳 - Kocha RS Berkane 🇲🇦

"Kucheza ugenini bila idadi kubwa ya mashabiki kwetu sio jambo geni, tumeshacheza mechi nyingi za aina hii

Mambo yaliyotokea Airport wakati tunawasili sitaki kuyaongelea, tunatakiwa tuwe makini na mechi iiyopo mbele yetu.

🗣️ Mouin Chaabani 🇹🇳 - Kocha RS Berkane 🇲🇦
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

"Berkane ni timu ya daraja la juu lakini bado hawajakutana na hasira ya Simba ikiwa kwenye ubora na uwezo wake kamili. " Mchezo wa kwanza tuliuchukulia kama somo, tumejiandaa na tupo tayari" 🎙️ Fadlu Davids 🇿🇦 - Kocha wa Simba 🇹🇿

"Berkane ni timu ya daraja la juu lakini bado hawajakutana  na hasira ya Simba ikiwa kwenye ubora na uwezo wake kamili. " 

Mchezo wa kwanza tuliuchukulia kama somo, tumejiandaa na tupo tayari"

🎙️ Fadlu Davids 🇿🇦 - Kocha wa Simba 🇹🇿
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

"Kila mchezaji, mwanachama na shabiki wa Simba alitamani mechi hii ichezwe Benjamin Mkapa lakini hatuwezi kupinga kile kilichoamuliwa na mamlaka. Tulichopanga kukifanya Benjamin Mkapa, tutakifanya hapa Zanzibar. 🎙️ Shomari Kapombe 🇹🇿 - Mchezaji Simba.

"Kila mchezaji, mwanachama na shabiki wa Simba alitamani mechi  hii ichezwe Benjamin Mkapa lakini hatuwezi kupinga kile kilichoamuliwa na mamlaka.

Tulichopanga kukifanya  Benjamin Mkapa, tutakifanya hapa Zanzibar.

🎙️ Shomari Kapombe 🇹🇿 - Mchezaji Simba.
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

"Mwaka jana tulipoteza kombe dhidi ya Zamalek, ni mchezo ambao ulitupa uzoefu mkubwa na hatutakuwa tayari kupoteza fainali ya pili mfululizo" 🎙️ Moïne Chaâbani 🇹🇳 - Kocha RS Berkane 🇲🇦

"Mwaka jana tulipoteza kombe dhidi ya Zamalek, ni mchezo ambao ulitupa uzoefu mkubwa na hatutakuwa tayari kupoteza fainali ya pili mfululizo"

🎙️ Moïne Chaâbani 🇹🇳 - Kocha RS Berkane 🇲🇦
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Mnyama Simba Sc 🇹🇿 akipasha misuli kabla ya kuwakabili RS Berkane 🇲🇦 siku ya kesho kwenye Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

FULL TIME ⏰ 1st Leg Mamelodi 🇿🇦 1️⃣ ➖ 1️⃣ Pyramids Fc 🇪🇬 ⚽ 54' Lucas Ribeiro ⚽️ 90+4' El Karti (🅰️ Lasheen) ✅ Pyramids tayari wamepata faida ya goli la ugenini. #TotalEnergiesCAFCL

FULL TIME ⏰ 1st Leg 

Mamelodi 🇿🇦 1️⃣ ➖ 1️⃣ Pyramids Fc 🇪🇬

⚽ 54' Lucas Ribeiro
⚽️ 90+4' El Karti (🅰️ Lasheen)

✅ Pyramids tayari wamepata faida ya goli la ugenini.

#TotalEnergiesCAFCL
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

OFFICIAL: Wydad AC 🇲🇦 imetangaza kukamilisha usajili wa wachezaji watatu hii leo. ✅ Nordin Amrabat ✅ Hamza Hanouri ✅ Aziz Ki Aziz KI amesaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2027.

OFFICIAL: Wydad AC 🇲🇦 imetangaza kukamilisha usajili wa wachezaji watatu hii leo.

✅ Nordin Amrabat
✅ Hamza Hanouri
✅ Aziz Ki

Aziz KI amesaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2027.
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

"Moyo wangu ni mzito kuwapa taarifa ya kuhusu kuondoka kwangu kwenye klabu ya moyo wangu, Yanga ni zaidi ya klabu. Yanga imenitengeneza na kunijenga, Yanga imenipa sehemu yangu ya pili ya nyumbani na imenipa mke mzuri" 🎙️ Aziz KI 🇧🇫

"Moyo wangu ni mzito kuwapa taarifa ya  kuhusu kuondoka kwangu  kwenye klabu ya  moyo wangu, Yanga ni zaidi ya klabu.

Yanga imenitengeneza  na kunijenga,  Yanga imenipa sehemu yangu ya pili ya nyumbani na imenipa mke mzuri"

🎙️ Aziz KI 🇧🇫
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Updates 👇 ➡️ CAF wamezindua muonekano mpya wa Kombe la Shirikisho barani Afrika 🔥 Simba 🇹🇿 or Berkane 🇲🇦 Nani atabeba?

Updates 👇

➡️ CAF wamezindua muonekano mpya wa Kombe la Shirikisho barani Afrika 🔥

Simba 🇹🇿 or Berkane 🇲🇦

Nani atabeba?