BEBERU (@iambeberu) 's Twitter Profile
BEBERU

@iambeberu

𝑇𝑒𝑐ℎ 𝐸𝑛𝑡ℎ𝑢𝑠𝑖𝑎𝑠𝑡👨🏽‍💻| 𝐻𝑒𝑟𝑒 4 𝐹𝑢𝑛 | 𝑖𝑄𝑢𝑜𝑡𝑒 𝑎𝑛𝑑 𝑅𝑒𝑝𝑜𝑠𝑡 𝐴𝑙𝑜𝑡 😎| 𝐶ℎ𝑒𝑐𝑘 𝑀𝑦 𝑃𝑜𝑠𝑡𝑠 𝑜𝑛 𝐻𝑖𝑔ℎ𝑙𝑖𝑔ℎ𝑡𝑠...✍🏽 |

ID: 1705738255344308224

calendar_today24-09-2023 00:18:09

10,10K Tweet

7,7K Takipçi

2,2K Takip Edilen

kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema) 's Twitter Profile Photo

Hili ni Ganda la Risasi lililotumika jana kushoot raia katika maandamano Risasi hii imetengenezewa zimbabwe mwaka 2010 cha ajabu jana imetumika katika maandamano kwaajili ya kupiga raia?

Hili ni Ganda la Risasi lililotumika jana kushoot raia katika maandamano Risasi hii imetengenezewa zimbabwe mwaka 2010 cha ajabu jana imetumika katika maandamano kwaajili ya kupiga raia?
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Samia Suluhu Hassan acha kuuwa vijana wa hili Taifa sababu ya kulinda urais. Hatukutaki. Na hatutaki kuongozwa na wewe. #MO29

Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

TUELEWANE!! Mtu yeyote atakayeturudisha nyuma kwenye hatua hii ya sasa, huyo ni ADUI. MADALALI wa kisiasa kaeni pembeni kabisa. Hakuna MARIDHIANO wala kauli za sijui UCHAGUZI urudiwe. Ondoeni hiyo kwenye fikra zenu. Focus iwe KUKOMBOA hili Taifa kwanza. PERIOD!!