Nagji (@iam_urvil_nagji) 's Twitter Profile
Nagji

@iam_urvil_nagji

Mwananchi wa Jamhuri ya watu wa STANZA @ikuluSTANZA | A proudly fan of @chelseafc 💙 & @simbasctanzania ❤️ “Time doesn’t change people ,their choices do”

ID: 3973828275

calendar_today16-10-2015 18:27:55

15,15K Tweet

8,8K Takipçi

280 Takip Edilen

Handsome La Kijiji (@manenoizaak) 's Twitter Profile Photo

Ifikie muda tuanze ku saport biashara zake huyu jamaa, ukiona hapa kuna mtu ka post Asas iwe maziwa au biashara nyingine piga RT kwa upendo mkubwa saana Ahmed Asas ni MTU.

imerm_jr (@imerm_jr) 's Twitter Profile Photo

🗣️Fajr prayer is muslims first fight against shaitan,so make sure you get your first win of the day. May we not Miss Fajr prayer.

Republic Of STANZA (@ikulustanza) 's Twitter Profile Photo

📍🇮🇱 Tel Aviv,Israel 📖GOLDA MEIR: Mwanamke Nyuma ya "Uanzishwaji" wa Taifa la Israel 1948 Fuatilia makala hii fupi kwa kubofya link kwenye bio itakayokupeleka kwenye chennel ya Stanza.

📍🇮🇱 Tel Aviv,Israel

📖GOLDA MEIR: Mwanamke Nyuma ya "Uanzishwaji" wa Taifa la Israel 1948

Fuatilia makala hii fupi kwa kubofya link kwenye bio itakayokupeleka kwenye chennel ya Stanza.
Baba_Arthur_Ariella (@bpkaa_) 's Twitter Profile Photo

Acheni chukulia mambo too serious Vijana.. wewe ishi as it comes.. kubali kuchukua majukumu. Be responsible, play your part mengine achana nayo yakija ISHI👍🏾

WHYMYCATISSAD (@influencerjr) 's Twitter Profile Photo

Ifike muda tukubaliane kwamba ninyi ambao mmeshaoa, acheni kutushauri kuhusu ndoa eti kwa sababu tu ninyi mmeoa. Kila mtu ana maisha yake bhana