Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile
Hussein M Bashe

@husseinbashe

Minister, Ministry for Agriculture | MP - Nzega Urban Constituency | Farmer | Politician #TanzaniaKwanza

ID: 414967705

linkhttp://www.husseinbashe.com calendar_today17-11-2011 18:39:22

5,5K Tweet

564,564K Takipçi

361 Takip Edilen

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Miaka minne iliyopita tulizalisha tani 30,000 tu za mbegu hapa nchini. Leo kupitia Wakala wa Mbegu Agricultural seed agency tunazalisha zaidi ya tani 60,000 mara mbili ya hapo awali. Kupitia uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Serikali ilitoa mashamba yake kwa mikataba

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Salaam Ndugu Zangu, Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima na leo kupata nafasi ya kuwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo kama Waziri mwenye dhamana. Bajeti ya Wizara ya kilimo imeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 294 mwaka 2021/2022 hadi Shilingi Trilioni 1.248

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

#BajetiYaWakulima Uzalishaji wa mazao ya chakula umeongezeka kutoka tani 17,148,290 mwaka 2021/2022 hadi tani 22,803,316 mwaka 2023/2024 sawa na ongezeko la asilimia 33 na kufanya utoshelevu wa chakula nchini kufikia asilimia 128 dhidi ya lengo la asilimia 130 . Haya

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

🎥LEO BUNGENI: Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein M Bashe, akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo, ameeleza mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya Serikali ya Awamu ya Sita ambapo amebainisha kuwa; ➡️Bajeti ya Kilimo imepanda kutoka Shilingi Bilioni 294

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

🎥LEO BUNGENI: Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein M Bashe akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo ameeleza kuwa Katika mwaka 2024, mchango wa sekta ya kilimo kwenye pato la taifa umeendelea kuongezeka, hali inayopelekea watu wengi zaidi kuajiriwa kwenye

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Takwimu mbali mbali zilizopo kwenye Hotuba ya Bajeti. Uzalishaji wa mazao asilia ya biashara umeongezeka kutoka tani 898,967 mwaka 2020/2021 hadi tani 1,451,694.11 mwaka 2023/2024 sawa na ongezeko la asilimia 61.5. Mathalani:- a. Uzalishaji wa korosho umeongezeka kutoka tani

Takwimu mbali mbali zilizopo kwenye Hotuba ya Bajeti.

Uzalishaji wa mazao asilia ya biashara umeongezeka kutoka tani 898,967 mwaka 2020/2021 hadi tani 1,451,694.11 mwaka 2023/2024 sawa na ongezeko la asilimia 61.5. Mathalani:- 

a. Uzalishaji wa korosho umeongezeka kutoka tani
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

#BajetiYaWakulima Kupitia TARI, Serikali ya Awamu ya Sita imeweka msingi imara wa mageuzi ya utafiti wa kilimo nchini. Tumefanikisha kupata ithibati ya kimataifa kwa Maabara ya Afya ya Udongo na Mimea iliyopo Mufindi, kukamilisha usanifu wa Kituo cha Sayansi za Kibaolojia

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Hatua mbali mbali tulizopiga kwenye utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka huu wa fedha unaoisha. #BajetiYaWakulima

Hatua mbali mbali tulizopiga kwenye utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka huu wa fedha unaoisha. #BajetiYaWakulima
Carol Ndosi (@carolndosi) 's Twitter Profile Photo

#KilimonaCarol Migomba ya Maua Mazuri ndio kama hivi jamani..tena this is with minimal care💪🏾💪🏾 I mean yes mbolea tuliweka ya ng’ombe tena but shooo! I ‘m so happy 🙏🏾🙏🏾

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

#BajetiYaWakulima Kila kitu ni mipango, utekelezaji na usimamizi. Tunaendelea kufanyia kazi changamoto mbali mbali na kuboresha mifumo, lakini mapinduzi kwenye sekta ya kilimo yanawezekana, na yanaonekana.

Jacqueline Mkindi (@mkindijackie) 's Twitter Profile Photo

From University of Leeds , UK! We're preparing a major project to boost output in agriculture & horticulture by examining production issues, trade policies & supply chains. The joint project for TZ, Brazil & Indonesia seeks to align agriculture, forestry & climate change adaptation

From <a href="/UniversityLeeds/">University of Leeds</a> , UK! We're preparing a major project to boost output in agriculture &amp; horticulture by examining production issues, trade policies &amp; supply chains. The joint project for TZ, Brazil &amp; Indonesia seeks to align agriculture, forestry &amp; climate change adaptation
Baba Assad CAG🇹🇿 (@jrmalcolm88) 's Twitter Profile Photo

Tanzania inahitaji Wabunge wa namna hii. Kama Sector ya Kilimo inaajiri zaidi ya 70% ya Watanzania leo, kwanini Mh Waziri Mwigulu Nchemba, PhD haupeleki 100% Wizara ya Kilimo? Unataka kutuaminisha kwamba Mh Hussein M Bashe hafanyi kazi yake vizuri? Au hautaki Mh Bashe asifike kwa

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

#Agenda1030 Kilimo na UMWAGILIAJI. Ilikua ndoto, lakini sasa rasmi imeingia kwenye Ilani ya Chama Cha Mapinduzi #Ilani2530 iliyozinduliwa leo 30.05.2025 Upembuzi yakinifu yaani feasibility study imeshatangazwa. Mradi huu utahusisha jumla ya ekari milioni 3.

Olvaris Lasway (@olvarislasway) 's Twitter Profile Photo

The Mkindo irrigation scheme in Mvomero District, Morogoro Region, Tanzania, is a well-organized rice irrigation project that utilizes the Mkindo Perennial River. It is a primary food and income source for smallholder farmers in the area.....

The Mkindo irrigation scheme in Mvomero District, Morogoro Region, Tanzania, is a well-organized rice irrigation project that utilizes the Mkindo Perennial River. It is a primary food and income source for smallholder farmers in the area.....
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

📍 Dodoma 🗓️ 30.05.2025 Jana tumepokea ya ndege ya kudhibiti visumbufu vya mimea. Ndege hiyo aina ya Thrush 510P2+ inaenda kutumika kudhibiti visumbufu vya mazao (magonjwa na wadudu waharibifu) ambavyo vingeathiri uzalishaji wa mazao ya wakulima nchini. Ndege ina tenki lenye

📍 Dodoma
🗓️ 30.05.2025

Jana tumepokea ya ndege ya kudhibiti visumbufu vya mimea.

Ndege hiyo aina ya Thrush 510P2+ inaenda kutumika kudhibiti visumbufu vya mazao (magonjwa na wadudu waharibifu) ambavyo vingeathiri uzalishaji wa mazao ya wakulima nchini. 

Ndege ina tenki lenye