Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile
Huheso Foundation

@huhesof

HUHESO FOUNDATION is a Foundation of marginalized people and community based organizations dealing with HIV/AIDS, CANCER, rights , reproductive health to youth

ID: 854980892309299200

linkhttps://www.huheso.co.tz/2023/09/new-job-advertisements-organizational.html?m= calendar_today20-04-2017 08:51:44

244 Tweet

154 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa shiraka la HUHESO FOUNDATION na wafanyakazi wote , tunatoa pole kwa familia na Taifa la Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla kufuatia kifo cha Rais Msataafu Hayati Ali Mwinyi 🙏🏾 #apumzikekwaamani

Uongozi wa shiraka la HUHESO FOUNDATION na wafanyakazi wote , tunatoa pole kwa familia na Taifa la Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla kufuatia kifo cha Rais Msataafu Hayati Ali Mwinyi 🙏🏾

#apumzikekwaamani
Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

Shirika la HUHESO limeshiriki katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliyofanyika jana Machi 4, 2024 katika kata ya Sabasabini iliyopo Halmashauri ya Ushetu Manispaa ya Kahama yaliyoongozwa na mgeni Rasmi ambae ni Mkurugenzi wa Gold FM Bi.Neema Mghen.

Women's inclusion isn't just having women present. It's about creating spaces where women can fully participate and have their voices heard. This is important across all aspects of society, from businesses and governments to communities and homes. #IWD #InvestingInWomen

Women's inclusion isn't just having women present. It's about creating spaces where women can fully participate and have their voices heard. This is important across all aspects of society, from businesses and governments to communities and homes.
#IWD
#InvestingInWomen
Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa mkoa wa Shinyanga yamefanyika leo Machi 8, 2024 katika viwanja vya Sabasaba mkoani Shinyanga huku kaulimbiu ikiwa ni Wekeza kwa wanawake: Harakisha maendeleo ya Taifa na ustawi wa jamii. #sikuyawanawakeduniani #wekezakwawanawake

Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa mkoa wa Shinyanga yamefanyika leo Machi 8, 2024 katika viwanja vya Sabasaba mkoani Shinyanga huku kaulimbiu ikiwa ni Wekeza kwa wanawake: Harakisha maendeleo ya Taifa na ustawi wa jamii.

#sikuyawanawakeduniani
#wekezakwawanawake
Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

Maafisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Kahama wakiongozwa na mratibu wa asasi za kiraia Bwana Mbwana Karata na Mratibu wa shughuli za UKIMWI ngazi ya Jamii Bi Renada wametembelea ofisi za shirika la HUHESO makao makuu mjini Kahama Leo Machi 25, 2024. FHI 360 WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII

Maafisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Kahama wakiongozwa na mratibu wa asasi za kiraia Bwana Mbwana Karata na Mratibu wa shughuli za UKIMWI ngazi ya Jamii Bi Renada wametembelea ofisi za shirika la HUHESO makao makuu mjini Kahama Leo Machi 25, 2024.

FHI 360
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

The three days SNS training that has been conducted in Shinyanga Town at Vig Mark Hotel marked the end today. The training aimed to enhance and equip healthcare providers and EpiC project implementers at CSO level with technical skills of reaching KVPs social networks with HTS.

May this season fill your heart with joy, your soul with peace, and your life with blessings. Happy #goodfriday2024 #huheso #huhesofoundation

May this season fill your heart with joy, your soul with peace, and your life with blessings. Happy #goodfriday2024

#huheso
#huhesofoundation
Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

Supportive supervision aimed at checking the EpiC project activities implementation progress has been conducted on 15/04/2024 by FHI360 from Shinyanga Region to HUHESO foundation headquarters.

Timu ya EpiC mkoa na timu ya EpiC HUHESO wameanza mafunzo ya siku 3 kwa waelimishaji rika ngazi ya jamii leo Aprili 16, 2024 Kahama, mafunzo hayo yanalenga kutoa elimu kwa waelimishaji rika ngazi ya jamii ili waweze kufanya uhamasishaji kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.

Mafunzo ya siku 3 kwa waelimishaji rika ngazi ya jamii yanaendelea ikiwa leo ni Aprili 17, 2024 siku ya pili ya mafunzo hayo. Upokewaji wa mafunzo ni mzuri wenye matarajio chanya juu ya ufikiwaji wa makundi mengine ambayo yapo katika hatari zaidi ya kupata maambukizi ya VVU.

Mafunzo ya siku 3 kwa waelimishaji rika ngazi ya jamii yanaendelea ikiwa leo ni Aprili 17, 2024 siku ya pili ya mafunzo hayo.
Upokewaji wa mafunzo ni mzuri wenye matarajio chanya juu ya ufikiwaji wa makundi mengine ambayo yapo katika hatari zaidi ya kupata maambukizi ya VVU.
Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

Mafunzo kwa waelimishaji rika ngazi ya jamii juu ya ufikiwaji wa makundi mengine yaliyo katika hatari zaidi ya kupata maambukizi mapya ya VVU kupitia mitandao ya kijamii yamehitimishwa leo Aprili 18, 2024 katika ukumbi wa Pine Ridge uliopo Manispaa ya Kahama. USAID FHI 360

Mafunzo kwa waelimishaji rika ngazi ya jamii juu ya ufikiwaji wa makundi mengine yaliyo katika hatari zaidi ya kupata maambukizi mapya ya VVU kupitia mitandao ya kijamii yamehitimishwa leo Aprili 18, 2024 katika ukumbi wa Pine Ridge uliopo Manispaa ya Kahama.
USAID FHI 360
Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

HUHESO Foundation EpiC project staff participated in a one-day supervision conducted by TACAIDS in collaboration with Shinyanga RMO office On 19th April 2024.

Tunaungana na watanzania wote kuazimisha kheri ya miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar👏🎊🇹🇿 #tanzania #Zanzibarisland #muungano

Tunaungana na watanzania wote kuazimisha kheri ya miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar👏🎊🇹🇿

#tanzania
#Zanzibarisland
#muungano
Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

Uhamasishaji na elimu juu ya upimaji wa VVU kwa wavulana balehe na wanaume vijana (ABYM) katika kata ya Kinaga Manispaa ya Kahama. Chini ya mradi wa EpiC ili kupunguza maambukizi mapya ya VVU. Mradi unafadhiliwa na USAID kupitia FHI360 na kutekelezwa na shirika la HUHESO.

Uhamasishaji na elimu juu ya upimaji wa VVU kwa wavulana balehe na wanaume vijana (ABYM) katika kata ya Kinaga Manispaa ya Kahama.
Chini ya mradi wa EpiC ili kupunguza maambukizi mapya ya VVU. Mradi unafadhiliwa na USAID kupitia FHI360 na kutekelezwa na shirika la HUHESO.
Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

The TACAIDS in collaboration with UNICEF conducted a supportive supervision yesterday to DREAMS program under EpiC project implemented in Ushetu DC. They observed different impacts of DREAMS to beneficiaries reached through SHDEPHA+Kahama , Tanzania Health Promotion Support and Huheso Foundation #epicprojecttz

The TACAIDS in collaboration with UNICEF conducted a supportive supervision yesterday to DREAMS program under EpiC project implemented in Ushetu DC.
They observed different impacts of DREAMS to beneficiaries reached through SHDEPHA+Kahama , Tanzania Health Promotion Support and Huheso Foundation

#epicprojecttz
Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

Ofisi ya shirika la HUHESO tawi la Ushetu imetembelewa na kamati mseto ya UKIMWI kutoka Halmashauri ya Ushetu leo Mei 17, 2024. Kamati hiyo inayoundwa na madiwani 6, waratibu wa UKIMWI ngazi ya jamii na Afya, viongozi wa dini na kimila, wawakilishi wa vijana pamoja na KONGA.

Ofisi ya shirika la HUHESO tawi la Ushetu imetembelewa na kamati mseto ya UKIMWI kutoka Halmashauri ya Ushetu leo Mei 17, 2024.
Kamati hiyo inayoundwa na madiwani 6, waratibu wa UKIMWI ngazi ya jamii na Afya, viongozi wa dini na kimila, wawakilishi wa vijana pamoja na KONGA.
Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

Shirika la HUHESO linatoa elimu ya uchumi bure kwa Wasichana balehe na wanawake vijana (AGYW) kupitia afua ya kimuundo(DREAMS) chini ya mradi wa EpiC unaofadhiliwa na USAID wenye lengo la kupunguza maambukizi mapya ya VVU. #epicprojecttz #agyw USAID FHI 360

Shirika la HUHESO linatoa elimu ya uchumi bure kwa Wasichana balehe na wanawake vijana (AGYW) kupitia afua ya kimuundo(DREAMS) chini ya mradi wa EpiC unaofadhiliwa na USAID wenye lengo la kupunguza maambukizi mapya ya VVU.

#epicprojecttz #agyw
USAID
FHI 360
Huheso Foundation (@huhesof) 's Twitter Profile Photo

Mratibu wa shughuli za UKIMWI Bi. Renada Bujiku na Afisa maendeleo kata ya Kagongwa Ndugu Baraka Ngulwa wakiongozwa na wasimamizi wa DREAMS kutoka shirika la HUHESO walipata nafasi ya kutembelea vikundi vya mabinti ambao ni wanifaika wa mradi wa EpiC Manispaa ya Kahama.

Kikao cha siku moja cha wawezeshaji ngazi ya jamii wa afua ya kimuundo, Mabadiliko ya tabia na mawasiliano, ufuasi wa dawa kwenye vituo vya tiba na matunzo, kutoka Halmashauri ya Ushetu na Manispaa ya Kahama kimefanyika jana Juni 05, 2024 katika ukumbi wa Pine Ridge Kahama.

The Tanzania Commission for AIDS @tac in collaboration with @unicef conducted a supportive supervision yesterday June 12, 2024 in Iringa MC. HUHESO Foundation is implementing DREAMS program under EpiC project to Adolescent Girls and Young Women (AGYW) with 15-24 years.

The Tanzania Commission for AIDS @tac in collaboration with @unicef conducted a supportive supervision yesterday June 12, 2024 in Iringa MC.
HUHESO Foundation is implementing DREAMS program under EpiC project to Adolescent Girls and Young Women (AGYW) with 15-24 years.