Ambassador Hoyce Temu, PhD (@hoycetemu) 's Twitter Profile
Ambassador Hoyce Temu, PhD

@hoycetemu

Deputy Permanent Representative, Tanzania Mission to the UN in Geneva. Retweet not endorsement. Views are my own.

ID: 1682603220

linkhttps://www.tzembassy.go.tz/ambassadors/view/hoyce-anderson-temu calendar_today19-08-2013 07:37:09

3,3K Tweet

19,19K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Ambassador Hoyce Temu, PhD (@hoycetemu) 's Twitter Profile Photo

Part two: Tanzania 🇹🇿 kwa niaba ya Nchi Wanachama wa Afrika imeendelea kusisitiza umuhimu wa #IOM kuendelea kufanya kazi na wadau mbalimbali katika kupata muafaka wa wahamaji. Yote hayo yanawezekana pale shirika hili litakapokuwa na rasilimali fedha na watu za kutosha.

Ambassador Hoyce Temu, PhD (@hoycetemu) 's Twitter Profile Photo

Tanzania yanadi uzoefu wake katika kukabiliana na Maafa, yawaalika Mataifa kuja kujifunza. We were honored to have Dr. Jim James Yonazi 🇹🇿 , Permanent Secretary Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Jim Yonazi , leading the Tanzanian delegation at the 8th Session of the Global Platform for Disaster Risk

Tanzania yanadi uzoefu wake katika kukabiliana na Maafa, yawaalika Mataifa kuja kujifunza. We were honored to have Dr. Jim James Yonazi 🇹🇿 , Permanent Secretary
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Jim Yonazi
, leading the Tanzanian delegation at the 8th Session of the Global Platform for Disaster Risk
Ambassador Hoyce Temu, PhD (@hoycetemu) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa mahmoud Kombo alipotembelea Tanzania Mission to The UN Office | Geneva na kukabidhi kitabu cha Hayati Mwalimu Nyerere Rais wa Kwanza wa JMT🇹🇿 Kulia ni Balozi wa Tanzania na Mwakilishi wa Kudumu Geneva Mh. Dr. Abdallah Possi #booksdiplomacy

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi WizarayaMamboyaNdani Mh. Innocent Bashungwa amesaini MOU na Chief of Mission wa IOM Tanzania IOM - UN Migration 🇺🇳 katika ushirikiano kwenye Chuo cha mafunzo cha IOMAfrican Capacity Building Centre(ACBC) ambacho kimejengwa Moshi Mkoani Kilimanjaro 🇹🇿 na kinafundisha

Part 4: Comprehensive Strategy for #Diaspora is Key. Tanzania 🇹🇿 plans to harness full potential of its Diaspora #diaporaengagement🇹🇿 #iom