Historia Yetu (@historiayetu) 's Twitter Profile
Historia Yetu

@historiayetu

Ukurasa kuhusu historia ya Tanzania. Kabla na baada ya uhuru. Tundikie 📧- [email protected]

ID: 1429749964775768066

linkhttp://www.historiayetu.com calendar_today23-08-2021 10:19:17

1,1K Tweet

37,37K Takipçi

0 Takip Edilen

Historia Yetu (@historiayetu) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma, 2013 Waziri wa nchi, Ofisi ya ya Rais (mahusiano na Uratibu) na Mbunge wa Bunda Mhe Steven Wasira (kulia) akikumbatiana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe Godbless Lema katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

📍Dodoma, 2013

Waziri wa nchi, Ofisi ya ya Rais (mahusiano na Uratibu) na Mbunge wa Bunda Mhe Steven Wasira (kulia) akikumbatiana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe Godbless Lema katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Historia Yetu (@historiayetu) 's Twitter Profile Photo

Sheikh Mohammad Idd amefariki leo Jan 30, 2025 katika Hospitali ya Mloganzila Dar es Salaam. Huyu ndio Shekhe wa kwanza Tanzania Bara kuwa na kipindi cha Televisheni.

Sheikh Mohammad Idd amefariki leo Jan 30, 2025 katika Hospitali ya Mloganzila Dar es Salaam. 

Huyu ndio Shekhe wa kwanza Tanzania Bara kuwa na kipindi cha Televisheni.
Historia Yetu (@historiayetu) 's Twitter Profile Photo

HEKAYA FUPI YA BOSI WA BENKI YA CRDB, ABDULMAGID NSEKELA Miaka 25 iliyopita, Abdulmajid Nsekela alikuwa kijana anayepokea cheti cha mafunzo ya huduma za bima kutoka kwa Dkt. Charles Kimei, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB wakati huo. Leo hii, historia imejigeuza—Nsekela

HEKAYA FUPI YA BOSI WA BENKI YA CRDB, ABDULMAGID NSEKELA

Miaka 25 iliyopita, Abdulmajid Nsekela alikuwa kijana anayepokea cheti cha mafunzo ya huduma za bima kutoka kwa Dkt. Charles Kimei, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB wakati huo. Leo hii, historia imejigeuza—Nsekela
Historia Yetu (@historiayetu) 's Twitter Profile Photo

📍Kampala, Chuo Kikuu Makerere April 1965 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki, Rais Julius Nyerere wa Tanzania, akimtunuku Rais Jomo Kenyatta wa Kenya shahada ya heshima ya Udaktari wa Sheria. Na bila shaka, huo ndio wakati pekee ambapo Mzee alionekana akiwa amepiga goti.

📍Kampala, Chuo Kikuu Makerere April 1965

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki, Rais Julius Nyerere wa Tanzania, akimtunuku Rais Jomo Kenyatta wa Kenya shahada ya heshima ya Udaktari wa Sheria. 

Na bila shaka, huo ndio wakati pekee ambapo Mzee alionekana akiwa amepiga goti.
Historia Yetu (@historiayetu) 's Twitter Profile Photo

📍Kenya, Embakasi 1977 Ujumbe wa majirani Kenya kwa Mwalimu, hii ni baada ya Tanzania kufunga anga lake kwa ndege zote za Kenya kutua Tanzania kufuatia kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya miaka 10 (1967 - 1977). #TanzaniaVsKenya

📍Kenya, Embakasi 1977

Ujumbe wa majirani Kenya kwa Mwalimu, hii ni baada ya Tanzania kufunga anga lake kwa ndege zote za Kenya kutua Tanzania kufuatia kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya miaka 10 (1967 - 1977).

#TanzaniaVsKenya