Mr. Rocky (@hermanrocky_) 's Twitter Profile
Mr. Rocky

@hermanrocky_

Lawyer by day, Mic-slayer by night | #Optimist #Visionary | Walking proof that passion beats the odds. Views are mine.

ID: 1198294816079196160

linkhttps://youtube.com/@mr.rocky2099?si=rbcPuLra2w9EhuPY calendar_today23-11-2019 17:39:02

4,4K Tweet

606 Takipçi

3,3K Takip Edilen

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Jumatatu nzuri ya kazi na wananchi Simiyu, ikiwa ni siku ya pili ya ziara yangu ya kikazi mkoani hapa nikizungumza na wananchi na kujionea hatua kubwa za maendeleo tunazoendelea kupiga kwa pamoja. Sehemu ya mafanikio haya hapa Simiyu ni Kiwanda cha Mabomba na Kiwanda cha

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

KIGONGO - BUSISI FAHARI YA KANDA YA ZIWA 🇹🇿 Rais Samia aliahidi atamalizia daraja la Kigongo-Busisi, wakampa imani na leo imani imewalipa. Daraja limekamilika na limepewa jina la DARAJA LA MAGUFULI. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anawapenda Wananchi wa Kanda ya Ziwa

Mr. Rocky (@hermanrocky_) 's Twitter Profile Photo

Dunia ya leo haitaki mtu wa kazi moja tu. Kama unasomea udaktari na una kipaji cha mpira — fanya vyote! Lakini kwa nidhamu na mpangilio. Usikubali kipaji kilale kisa una degree. Gen Z, tumieni vipawa vyenu vyote kutengeneza njia mpya. 🔥💼⚽🎙️ #MrRockyInspires #MultiSkilled

Naweza kushirikiana na adui wa adui yangu kwa sababu tuna lengo moja… lakini siwezi kumwamini adui wa rafiki yangu, hata kama hana bifu nami – loyalty comes first.

Mr. Rocky (@hermanrocky_) 's Twitter Profile Photo

Not everything is one size fits all — even destiny has custom measurements. Tailor your hustle. ✂️📏 #ThinkDifferent #MrRockyWisdom

Dear Son. (@dears_o_n) 's Twitter Profile Photo

Kobe Bryant woke up at 4AM for 20 years. Not because he loved mornings but because he loved winning more than he loved sleep. Dear son, Discipline is choosing what you want most over what you want now.

Mr. Rocky (@hermanrocky_) 's Twitter Profile Photo

Observe kwanza… si kila issue ni black & white — kuna greys nyingi ndani yake. Benefit of doubt is part of street wisdom.☕️🏹 #MawazoHuru #MrRocky

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Unaskia bro Ukitoboa; jipongeze, jithamini, jipende, na shangilia ushindi wako. -Hakuna mtu anayejua maumivu na msoto uliopitia -Hakuna mtu anayejua gharama uliyotumia kufika hapo -Hakuna mtu anayefahamu vita ulizopigana kuwa wewe Ni wewe pekee unayefahamu safari yako. ENJOY

Mr. Rocky (@hermanrocky_) 's Twitter Profile Photo

Hawa utopolo Yanga walitaka kutu-outsmart kisaikoloiia, na sisi tunawapeleka hivyo hivyo kisaikolojia 😂😎 jinsi unavyokuja ndivyo utakavyo pokelewa..#Shubaamit 😁😂