MSHUA MASTA (@henricksilayo) 's Twitter Profile
MSHUA MASTA

@henricksilayo

TUNAANZA NA MUNGU ๐Ÿ™

ID: 1697737518840492032

calendar_today01-09-2023 22:26:21

1,1K Tweet

406 Followers

377 Following

MSHUA MASTA (@henricksilayo) 's Twitter Profile Photo

Maisha ni kuchagua kuamua kutafuta hela wiki nzima ukaitumie yote bar jumapili, au ku save na kufanyia msingi kwa kesho yako...๐Ÿ™

vaceti.๐Ÿ•ธ๏ธ๐Ÿ‘‘ (@kingvaceti) 's Twitter Profile Photo

Wanaume, kama una huu mtazamo: "kama nikiwa na pesa nitakuwa nimefanikiwa kuhusu maswala ya wanawake" UNAKOSEA. Wanawake wapo smart kuliko unavyodhani(manipulators)watakuigizia kwa muda na watakua hapo kwa ajili ya pesa zako sio kwa ajili yako. - Learn game.

Mudryk Jr (@mudryk_jr) 's Twitter Profile Photo

TUPATE ELIMU KIDOGO HAPAโšก๏ธ๐Ÿ“š Unataka kuwa na akili yenye nguvu na kumbukumbu kali? Siri ni moja tujifunze kitu kipya kila siku. Leo, tuchukue sekunde chache kuongeza maarifa mapya kwa ubongo wetu. Uzi huu ni mfupi lakini wenye thamani kubwa๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

TUPATE ELIMU KIDOGO HAPAโšก๏ธ๐Ÿ“š

Unataka kuwa na akili yenye nguvu na kumbukumbu kali? Siri ni moja tujifunze kitu kipya kila siku.

Leo, tuchukue sekunde chache kuongeza maarifa mapya kwa ubongo wetu.

Uzi huu ni mfupi lakini wenye thamani kubwa๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง๐Ÿ›œ (@bongotech255) 's Twitter Profile Photo

๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ฎ๐—ต๐—ฎ Najua watu wengi wanatamani kuweza kumiliki silaha yani mtu awe nayo kama msaada kwenye kujilinda na masuala mbalimbali lakini je unaweza kumiliki silaha? Thread ni Yako ๐Ÿ’ก

๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ฎ๐—ต๐—ฎ

Najua watu wengi wanatamani kuweza kumiliki silaha yani mtu awe nayo kama msaada kwenye kujilinda na masuala mbalimbali lakini je unaweza kumiliki silaha?

Thread ni Yako ๐Ÿ’ก
Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Content Creators hawakulala kwenye harusi ya Jux na Priscilla๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ Huyu mwamba jana aligombana na Fundi wake juu ya Nguo, Then alivyoenda kwenye Sherehe alibeba Vinywaji na kurudi navyo nyumbani Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Content Creators hawakulala kwenye harusi ya Jux na Priscilla๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ

Huyu mwamba jana aligombana na Fundi wake juu ya Nguo,

Then alivyoenda kwenye Sherehe alibeba Vinywaji na kurudi navyo nyumbani

Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡