uncle J
@helman_joshua
Tech enthusiast | Nature lover | Entrepreneur. YOU HAVE THE POWER TO MAKE THE BEAUTyFULL THINGS.
ID: 3010541557
05-02-2015 20:02:45
4,4K Tweet
320 Followers
530 Following
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga Nacho elewa nikwamba siasa sio always kushinda mkifikia muafaka wa maridhiano kwenye lengo linalotakiwa mnaweza ungana kufanya nchi kusonga. Hayo maafakiano yalikuwa yanafika that's why raila alikuwa ana agree situations hiyo Mara kwa Mara siasa always n about maslahi ya raia.
Anna Tibaijuka Tito Magoti Issa Shivji Sikio la kufa halisikii dawa mama. Hivi hata kwa common sense tu, ni nini haswa kinachojustify ushenzi unaofanywa na serikali ya Samia? Ni nini hicho cha maana ambacho anajaribu kukilinda kwa gharama ya damu za watu na mateso makubwa kiasi hiki? Ni threat gani substantial