
Hassan Khamis π΅πΈ
@hassankham1s
Proud Zanzibari embracing the beauty, culture, & history of my beloved island. Join me as I share my love for Zanzibar's pristine beaches, vibrant spice market.
ID: 214023856
https://zawauk.org/ 10-11-2010 11:16:37
15,15K Tweet
15,15K Followers
1,1K Following





Leo Septemba 14, 2025 Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACTWazalendo, Ndugu Othman Masoud Othman amezindua kampeni zake Mjini Unguja Viwanja vya Kibanda Maiti. Oktoba #LindaKura #OMO2025









Msimamo Rasmi wa ACTWazalendo kuhusu kuondolewa kwa Mgombea Urais wetu ndg. Luhaga Mpina katika orodha ya Wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.



