HR🌦️ (@hamychidy) 's Twitter Profile
HR🌦️

@hamychidy

Believe what you believe,live your life.||@YoungAfricansSC||@ManUntd||#shabikiwaball.

ID: 1542189681336623110

calendar_today29-06-2022 16:55:12

5,5K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Watu wananikanyagia kuwa mgonjwa yeyote akienda Dispensary atapata huduma bora na atapona haiwezi kuwa sababu ya yeye kuzidiwa. Ila mi msimamo wangu ni ule ule Hospital kubwa ni kubwa tu kuna watu wamekufa kwa kukosa hela ya matibabu ya Hospital kubwa.

Watu wananikanyagia kuwa mgonjwa yeyote akienda Dispensary atapata huduma bora na atapona haiwezi kuwa sababu ya yeye kuzidiwa. 

Ila mi msimamo wangu ni ule ule Hospital kubwa ni kubwa tu kuna watu wamekufa kwa kukosa hela ya matibabu ya Hospital kubwa.
MZUNGU PORI💪 (@mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

niaje champ. unafahamu kuhusu ODU za Airtel? ODU (Outdoor Unit) inawekwa nje ya jengo kwa ajili ya kupokea na kutuma mawimbi ya mtandao – hasa kwa huduma kama Airtel 4G/5G routers. Vipengele vya ODU: Huwekwa juu ya paa au ukutani nje ya nyumba/biashara. Huunganishwa na

niaje champ.
unafahamu kuhusu ODU za Airtel?

ODU (Outdoor Unit)  inawekwa nje ya jengo kwa ajili ya kupokea na kutuma mawimbi ya mtandao – hasa kwa huduma kama  Airtel 4G/5G routers.

Vipengele vya ODU:

Huwekwa juu ya paa au ukutani nje ya nyumba/biashara.

Huunganishwa na
🕷️ (@444holywitch) 's Twitter Profile Photo

HEALING CLASS. 1. Utafanyiwa reading: palm reading na numerological chart. 2. Utasaidiwa kufanya self reflection ya mienendo yako kiakili, kihisia na kiroho. 3. Utaelekezwa na njia za kurekebisha ikiwemo na kufundishwa namna ya kufanya meditation na healing practices zengine.

pinky🥀 (@kittentz255) 's Twitter Profile Photo

Ndg AHMED JOHN ELISHA alinipa beg dogo nimshikie tukiwa kwenye daladala la mbagala-mbezi tulipofika stand mbezi luis alishuka na kulisahau, kwenye beg kuna cheti cha 1 kidato cha nne 2 kidato cha sita 3 shahada 4 computer

Ndg AHMED JOHN ELISHA alinipa beg dogo nimshikie tukiwa kwenye daladala la mbagala-mbezi tulipofika stand mbezi luis alishuka na kulisahau, kwenye beg kuna cheti cha 
1 kidato cha nne 
2 kidato cha sita 
3 shahada
4 computer
AlNassr FC (@alnassrfc_en) 's Twitter Profile Photo

Scored the equaliser, And led his nation to another Championship 🏆 Many congratulations to AlNassr Captain, Cristiano Ronaldo 🐐👏

Scored the equaliser,
And led his nation to another Championship 🏆 

Many congratulations to AlNassr Captain, Cristiano Ronaldo 🐐👏
Game_Changer🇹🇿 (@ntwinagerfrid) 's Twitter Profile Photo

🥤 LEO nasimamia show mwenyewe – KWA AJILI YAKO! 😂🫵🏽🍌 Karibu #ParisFruition – tupo kazini kwa upendo, tukiandaa ladha bora kwa wiki yako! 📍 Dodoma Mjini 📞 0620574521 | 0750823780 🕗 8:00 AM – 7:00 PM #JuiceFresh #KaziniKwaAjiliYako #dodoma

🥤 LEO nasimamia show mwenyewe – KWA AJILI YAKO! 😂🫵🏽🍌

Karibu #ParisFruition – tupo kazini kwa upendo, tukiandaa ladha bora kwa wiki yako!

📍 Dodoma Mjini
📞 0620574521 | 0750823780
🕗 8:00 AM – 7:00 PM

#JuiceFresh #KaziniKwaAjiliYako #dodoma
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Ndoa ni safari yenye kusudi maalumu na si kifungo cha milele Ndoa si kitu cha kudumu kwa lazima. Si gereza la milele, wala mkataba wa damu ambao lazima udumu hata kama moyo umekauka. Ndoa ni agano la muda, safari ya ujumbe, ujumbe ambao unapofika mwisho wake, hatupaswi

Ndoa ni safari yenye kusudi maalumu na si kifungo cha milele
 
Ndoa si kitu cha kudumu kwa lazima. Si gereza la milele, wala mkataba wa damu ambao lazima udumu hata kama moyo umekauka.

Ndoa ni agano la muda, safari ya ujumbe, ujumbe ambao unapofika mwisho wake, hatupaswi