hamis_tz (@hamis__tz) 's Twitter Profile
hamis_tz

@hamis__tz

status: student 📚🎓||team:man united& Simba sc🦁||categories: football ⚽||music 🎶||movie's🎥||betting 💰||love❤️‍🔥||

ID: 1754979557222805504

linkhttp://www.hamisramadhan.com calendar_today06-02-2024 21:25:29

11,11K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Alex debrizy👑 (@alex_komba00) 's Twitter Profile Photo

Kudharaurika na kupuuzwa ni sehemu ya maisha ya mwananadamu isiwe chanzo cha kukukatisha tamaa katika safari ya mafanikio yako Kwani hatimaye yako ipo kwa Muumba tuu wala si binadamu mapambano yanaendeleaa familia 💪, Good morning my X family in GOD we believe 🙏.

MJUKUU (@wideedson) 's Twitter Profile Photo

Ni mpira wa kutenga (Free kick) alafu mwanangu James Ward Prowse ndio anapiga basi kaokote mpira tuu wavuni. 🥶🔥 De Gea kaziokota sana kunyavu.

Ni mpira wa kutenga (Free kick) alafu mwanangu James Ward Prowse ndio anapiga basi kaokote mpira tuu wavuni. 🥶🔥

De Gea kaziokota sana kunyavu.
MUDI FOOD FACTORY (@mudimabiriani) 's Twitter Profile Photo

Kufanya kazi na mtu ambaye umri umeenda tegemea mawili, awe na busara kutokana na mengi aliyopitia au awe na chuki inayotokana na majuto.....📌 Good morning +255🇹🇿

Kufanya kazi na mtu ambaye umri umeenda tegemea mawili, awe na busara kutokana na mengi aliyopitia au awe na chuki inayotokana na majuto.....📌

  Good morning +255🇹🇿
STUNNA (@cavitydamas23) 's Twitter Profile Photo

Tuna amka kwa sababu hatuna chaguo lingine zaidi ya kusonga mbele, Maisha yanahitaji mtu jasiri na sio dhaifu Gm Familia 🤝

Tuna amka kwa sababu hatuna chaguo lingine zaidi ya kusonga mbele, 
Maisha yanahitaji mtu jasiri na sio dhaifu 

Gm Familia 🤝
MUDI FOOD FACTORY (@mudimabiriani) 's Twitter Profile Photo

Ukipata nafasi onyesha uwezo, hata kama kuna mtu atakubeba na kukupa connection basi asitumie nguvu nyingi na wala asikuchoke kukubeba..📌

CARGO⭐🌍 (@cargo_1911) 's Twitter Profile Photo

MKEKA wa Jana Tulishinda💥 3.8M ,Mungu ni Mwema Aisee, Chukua Mkeka Wa Leo Huu hapa 🔥🔥👇👇 💥Code 4ET1L 💥Odds 5+ 💥Stake 1.5M 🔴Kampuni ya kubeti WinWin jisajili ✅️Zima VPN unapojisajili REG ✨️ topgamewinwin.org/GcDDrt APK 👇 topgamewinwin.org/DHhkJK ●Promo

MKEKA wa Jana Tulishinda💥 3.8M ,Mungu ni Mwema Aisee,
Chukua  Mkeka Wa Leo Huu hapa 🔥🔥👇👇

💥Code 4ET1L
💥Odds 5+ 
💥Stake 1.5M 

🔴Kampuni ya kubeti WinWin jisajili 
✅️Zima VPN unapojisajili 
REG ✨️ 
topgamewinwin.org/GcDDrt

APK 👇 
topgamewinwin.org/DHhkJK
●Promo