Madeezo Himself.(@hamad_nasri) 's Twitter Profileg
Madeezo Himself.

@hamad_nasri

Madeezo Himself...Yes Nambie

ID:2274561358

calendar_today11-01-2014 10:07:43

186 Tweets

142 Followers

256 Following

Madeezo Himself.(@hamad_nasri) 's Twitter Profile Photo

Jambo la kufanya ili uendelee kuwa na FURAHA na kupunguza lawama kwa Ndugu na Marafiki.,Jifunze kutoweka tumaini kwa mtu kwa kitu chochote Fahamu na yeye ni binadamu amabaye hajakamilika✌️🥂

account_circle
Madeezo Himself.(@hamad_nasri) 's Twitter Profile Photo

Kuna tofauti kubwa sana kati ya ubishoo na kujipenda na usafi binafsi......usipende kusema mtu bishoo wakati anajipenda na ni msafi✌️

account_circle
Madeezo Himself.(@hamad_nasri) 's Twitter Profile Photo

Nyie iamsisco na (MVP) Ukasha Chabara mnatamani kusema ni wabovu lkn Mkikumbuka mlikula mkono :5-1 mnaishia kunyamaza mnatamani kusema pacome anafunga team ndogo lkn mkikumbuka kashawanywa mnaishia kusonya😀😂

account_circle
Madeezo Himself.(@hamad_nasri) 's Twitter Profile Photo

Unaliona lkn pira popcorn 🍿 la Yanga (MVP) Ukasha Chabara na hatupaki Basi ila Ingekuwa Nyie Makolo muda huu wangeingiza Mabeki😂😂😂 3-0 Alf Onana anamengi ya kujifunza kutoka Kwa fundi la mafundi Pacome🐐

account_circle
Madeezo Himself.(@hamad_nasri) 's Twitter Profile Photo

Wewe Kutolipiza Visasi kwa Walio kukosea ndio kinakufanya uendelee kubarikiwa na Mwenyezi Mungu.Atakae kufanyia maovu,Atanyooshwa na DUNIA.!

account_circle
Madeezo Himself.(@hamad_nasri) 's Twitter Profile Photo

But perhaps you hate a thing and it is good for you, And perhaps you love a thing and it is bad for you. Allah knows, while ye know not.”

Na pengine ukachukia kitu na kumbe ni kizuri kwako ama ukapenda kitu na kikawa kibaya kwako, Na Mungu anajua usivyovijua Falsafa Baba! 🙌💯

account_circle
Madeezo Himself.(@hamad_nasri) 's Twitter Profile Photo

Uwepo,Utukufu na uwezo wa Mwenyezi Mungu sio kitu cha kutilia mashaka ni kitu ambacho kila mmoja wetu lazima akae nacho kichwani, kwa kila kitu kinacho mtokea'.🙏

account_circle