Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile
Halima James Mdee

@halimamdee

....................

ID: 296709232

linkhttp://www.parliament.go.tz/ calendar_today11-05-2011 08:21:12

20,20K Tweet

1,2M Takipçi

16,16K Takip Edilen

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Umesema VYEMA … you will NEVER know.. MIE NILIAMUA Kunyamaza KIMYA . RAIA MKAMEZA takataka ZOTE mlizomezeshwa. 5 years on… sijajutia UKIMYA wangu.. MAANA naendelea KUJIFUNZA kumbe SIO KILA MTU anaweza vumilia 🥂😃! Cheers najiandaa na MECHI ya WATANİ sasa 😂!

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Tumejenga taasisi HATUA kwa HATUA wakati wao wananyonya au hata hawajazaliwa 😂😂… Leo wanamiliki SMARTPHONE wanatuvimbia humu 😂😂😂! KWa BİTİ NZITO NZITO .. nikitaka punguza stress natembelea’ga’ hii DUNIA. Ni ya kipekee sana ! 😂

Halima James Mdee (@halimamdee) 's Twitter Profile Photo

Na mimi Nakubaliana nawe 100%. Unajua heshima ilishaondoka 5years ago.. sasa nashangaa kwa nini sipotei kwenye VIDOLE 🫆🫆vyenu mkiwa MNACHAPA spana ! 😄! Ni wazi tu MNANICHUKIA mpaka MNANIPENDA..